technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,485
- 50,897
Kiukweli hii kauli ya kila mtu abebe msalaba wake nashindwa kuielewa ni kwa watanzania wote au ni watanzania wasioishi Chato?
Kwanini ukiwa chato unaongea kwa upole sana bila kuwafokea watanzania au huko unakuwa unaongea uongo?
Unakuwa unaongea maneno matamu tuamini hivyo ni uongo unawadanganya wana chato.
Kwahiyo siku hizi Bukoba Shinyanga Simiyu na Tanzania yote unawaambia ukweli lakini chato unawaambia maneno matamu ya kuwabebereza hivyo unawadanganya chato na kuwaambia ukweli watanzania?
Kiukweli Rais unapokuwa chato unanikatisha tamaa kabisa...
Rais kwa nini anawadanganya chato......