Rais umeweza kuuvunja uliokuwa mwamba wa Dar es Salaam. Mkuu wa wilaya ya Kilosa ndugu Mgoyi anakushinda?

H
Huyu mkuu wa wilaya ya Kilosa ndg Mgoyi, ni mjivuni kwelikweli Anafanya anavyotaka wala hajali watu wa wilaya hiyo.

Anachukua ardhi za wakulima bila ridhaa yao. Watu wanalalamika yeye Hana habari nao. Mh Rais nakumbuka ulipokwenda kilosa, ulikuta ana kashfa ya kupora ekari 300 kwenye shamba la mkonge Kimamba ulilofuta hati ya muwekezaji ili wagawiwe wananchi,lakini ulimsamehe na kumataka ajisahihishe.

Bwana yule kwasasa ana mashamba ya mpunga Kilangali na Mvumi kwa maekari.

Wananchi wanakodishwa lakini yeye ana hodhi mamia ya maekari.

Yapo mengi anayafanya kinyume na maadili ya utumishi wa umma.

Yupo afisa tarafa Dumila anaitwa Nchimbi huyo ndiye mtumishi wake na siyo wa umma.
Hawa watu wanadanganywa na wake zao wakuu, sio kwamba hawapendi kuwa waadilifu, ndio hivyo tena
 
Ondoa ujinga wako hapa, anaruhusiwa kiwango chochote kulima, hoja hapa anapataje ardhi.
Watu wanalalamika wewe unashangilia.
Akiporwa babaako au mamaako ungesema majungu?
Vipo toka umeanza kupiga majungu umeshafanikiwa? Maana katika wachangiaji zaidi ya asilimia 90 wanakuona unapiga umbeya tu
 
Unatetea bila point zenye nguvu
Ninashaka na akili yako na uwezo wako was kupambanua mambo.
Mimi siishi kilosa Wala morogoro

Lakini ufahamu kuwa mpk watu wanachukua hatua tofauti tofauti ujue huyo mtu hakidhi mahitaji yao au unataka wote wake humu kulalamika.

Kwa taarifa yako hata migogoro ameshindwa kuipunguza licha ya kuimaliza
Wananchi wa kilosa wameshaenda kwa polepole,bashiru na Lukuvi wakati yeye yupo na vikao vingi vimefanyika hao viongozi na wananchi.

Mfano mmoja ni mipaka ya vijiji vilivyokuwa na mgogoro ulioitwa mgogoro wa mabwegere.
Toka Lukuvi aamue kuwa Kijiji kimefutwa,na mipaka ya asili ifufuliwe upya,huu no mwaka was nne hakuna kuainisha hiyo mipaka

Afu wewe unakuja hapa ng'eng'eng'e!! Mmeo no Nini?
Unajua watu wanadandia tu ila hawajui lolote,wala hawapo kilosa wayashuhudie kwa macho.acheni Mimi ni mhanga wa hayo na nimeshuhudia kwa macho yangu watu wanapolwa mashamba yao kimabavu .

Iko hivi migogoro ya ardhi wilaya ya kilosa ni mingi na haiishi ,ukifatilia kila mgogoro viongozi wa wilaya wamo.

Yani wamo mkuu wa wilaya,mkurugenzi,ocd,makatibu tarafa,mahakimu. Wanafanya hivi wanawatumia makatibu tarafa kupeleleza wapi kuna ardhi nzuri .wakisha ipata wanatafuta hasa wamasai wanampandikiza kwenye eneo lako.unashangaa tu shamba lako linalimwa na trekta unaenda kuwastopisha ,anajitokeza masai anakwambia hili ni shamba langu mnaanza kubishana .masai anapiga simu polisi faster tu wamefika unasobwa unatupwa ndani shamba linaendelea kulimwa.unafunguliwa kesi za ajabu ajabu unapelekwa kwa hakimu ambae ni mwenzao unafungwa .hata uende uende kwa mkuu wa wilaya, mkurugenzi, ocd ulalamika hawakusikilizi .utaanza kusakamwa kutishiwa Hadi shamba linakwenda hivi hivi unaliona.

Kwa mfano karibu tarafa wa tarafa ya magore/dumila aisee huyo jamaa ni noma anatumiwa na viongozi wa wilaya kupola ardhi vijiji vya bingiri,mambegwa,majambaa,mfuru.yani huyu mchimbi ni hovyo hafai.

Mfano kulikuwa na mgogoro wa Kijiji kimoja kinaitwa mabwegere ni Kijiji cha wanasai.hiki Kijiji kilimega ardhi za vijiji saba vinavyo kuzunguka kibabe yani wao hawajali mipaka ya vijiji bali wanajikatia mipaka wanavyotaka wenyewe . mgogoro ulichukua miaka 12 walikuwa wanapigana na kuuana Sana
.mwishoni mwa kipindi cha kikwete iliundwa tume kuchunguza mgogoro huo .wakati rais magufuri anaingia madarakani alikuta ripoti ya hiyo tume ina miaka mitatu imefungiwa makabatini hawataki itolewe.

Ikabidi ufanyike mkakati wa kulifikisha ikulu kwa rais magufuri ndo akatoa amri ripoti ya jaji isomwe kwa nini inafichwa?.

Lukuvi akaja dumila kuisoma hiyo ripoti kwa mbinde, maamuzi ya ripoti hiyo ilipendekeza Kijiji cha mabwegere kifutwe,ardhi ya vijiji vingine iliyoporwa irudishwe pia ziwekwe upya bicon za mipaka ya asili maana masai walizing'oa.

.tayari kijiji kimeshafutwa takilibani miaka sasa . viongozi wa wilaya hawataki kuweka bicon za mipaka ya vijiji.

Kwa nini kwa sababu mgogoro wa ardhi mabwegere kuna mikono ya viongozi ,kuna mashamba makubwa ya wakulima wa vijiji jirani yaliporwa na viongozi wa wilaya kwa kisingizio kuwa ni ardhi ya mabwegere wamepewa na mawasai.kijiji kimefutwa ardhi wataikosa.

Sasa wanachofanya ni kuzuia uwekaji wa bicon ,wanapambana kwa sasa kukisajili upya Kijiji cha mabwegere kirudi .wakisha kirudisha kwenye kukipimia ardhi wanahakikisha mashamba yao waliyopora wanayaingiza kwenye ardhi ya mabwegere.

Kuweka bicon ni
 
Kuwa umezaliwa mwaka 2020 huezi jua laana ya kilosa.
Kilosa haikuwa ilivyo leo, inazidi kuporomoka,
Achana na dhana za kale.
Laana ni kitu gani?
Hata Kilosa, wala Morogoro huijui.
Kilosa kwa muda mrefu walikuwa wanategemea mkonge
Mkonge umepoteza dira na Kilosa inapotea, maana hamtaki kubadilika.
Utajichelewesha kwa kuogopa vitisho vya kaminishwa kwamba Kilosa kuna laana.

Na ule mchezo wa kutegemea wizi kwenye treni muache sasa.
Pigeni kazj acheni porojo
 
Vipo toka umeanza kupiga majungu umeshafanikiwa? Maana katika wachangiaji zaidi ya asilimia 90 wanakuona unapiga umbeya tu
Wewe ndiye unaona ivo, nafurahi kukufahamu kuwa mmoja wa waporaji was ardhi za huko kilosa
Kuhusu mafanikio, panasiku ukweli utakuwa dhahili, wote ninyi mtaambaratishwa
 
Unajua watu wanadandia tu ila hawajui lolote,wala hawapo kilosa wayashuhudie kwa macho.acheni Mimi ni mhanga wa hayo na nimeshuhudia kwa macho yangu watu wanapolwa mashamba yao kimabavu .

Iko hivi migogoro ya ardhi wilaya ya kilosa ni mingi na haiishi ,ukifatilia kila mgogoro viongozi wa wilaya wamo.

Yani wamo mkuu wa wilaya,mkurugenzi,ocd,makatibu tarafa,mahakimu. Wanafanya hivi wanawatumia makatibu tarafa kupeleleza wapi kuna ardhi nzuri .wakisha ipata wanatafuta hasa wamasai wanampandikiza kwenye eneo lako.unashangaa tu shamba lako linalimwa na trekta unaenda kuwastopisha ,anajitokeza masai anakwambia hili ni shamba langu mnaanza kubishana .masai anapiga simu polisi faster tu wamefika unasobwa unatupwa ndani shamba linaendelea kulimwa.unafunguliwa kesi za ajabu ajabu unapelekwa kwa hakimu ambae ni mwenzao unafungwa .hata uende uende kwa mkuu wa wilaya, mkurugenzi, ocd ulalamika hawakusikilizi .utaanza kusakamwa kutishiwa Hadi shamba linakwenda hivi hivi unaliona.

Kwa mfano karibu tarafa wa tarafa ya magore/dumila aisee huyo jamaa ni noma anatumiwa na viongozi wa wilaya kupola ardhi vijiji vya bingiri,mambegwa,majambaa,mfuru.yani huyu mchimbi ni hovyo hafai.

Mfano kulikuwa na mgogoro wa Kijiji kimoja kinaitwa mabwegere ni Kijiji cha wanasai.hiki Kijiji kilimega ardhi za vijiji saba vinavyo kuzunguka kibabe yani wao hawajali mipaka ya vijiji bali wanajikatia mipaka wanavyotaka wenyewe . mgogoro ulichukua miaka 12 walikuwa wanapigana na kuuana Sana
.mwishoni mwa kipindi cha kikwete iliundwa tume kuchunguza mgogoro huo .wakati rais magufuri anaingia madarakani alikuta ripoti ya hiyo tume ina miaka mitatu imefungiwa makabatini hawataki itolewe.

Ikabidi ufanyike mkakati wa kulifikisha ikulu kwa rais magufuri ndo akatoa amri ripoti ya jaji isomwe kwa nini inafichwa?.

Lukuvi akaja dumila kuisoma hiyo ripoti kwa mbinde, maamuzi ya ripoti hiyo ilipendekeza Kijiji cha mabwegere kifutwe,ardhi ya vijiji vingine iliyoporwa irudishwe pia ziwekwe upya bicon za mipaka ya asili maana masai walizing'oa.

.tayari kijiji kimeshafutwa takilibani miaka sasa . viongozi wa wilaya hawataki kuweka bicon za mipaka ya vijiji.

Kwa nini kwa sababu mgogoro wa ardhi mabwegere kuna mikono ya viongozi ,kuna mashamba makubwa ya wakulima wa vijiji jirani yaliporwa na viongozi wa wilaya kwa kisingizio kuwa ni ardhi ya mabwegere wamepewa na mawasai.kijiji kimefutwa ardhi wataikosa.

Sasa wanachofanya ni kuzuia uwekaji wa bicon ,wanapambana kwa sasa kukisajili upya Kijiji cha mabwegere kirudi .wakisha kirudisha kwenye kukipimia ardhi wanahakikisha mashamba yao waliyopora wanayaingiza kwenye ardhi ya mabwegere.

Kuweka bicon ni
Kuweka bicon za mipaka ni mgomo viongozi wa wilaya hawataki. Kilosa viongozi ni uozo tupu . migogoro ya ardhi Wana maslahi nayo hawako tayari kuimaliza.watumbuliwe tu
 
Hawa naopinga humu ni hao hao viongozi wa kilosa, nchimbi, viongozi wa ccm dumila, kitete kilosa kina watende na kundi lake.
Hata mgoyi mwenyewe ndiye anayepinga humu
 
Achana na dhana za kale.
Laana ni kitu gani?
Hata Kilosa, wala Morogoro huijui.
Kilosa kwa muda mrefu walikuwa wanategemea mkonge
Mkonge umepoteza dira na Kilosa inapotea, maana hamtaki kubadilika.
Utajichelewesha kwa kuogopa vitisho vya kaminishwa kwamba Kilosa kuna laana.

Na ule mchezo wa kutegemea wizi kwenye treni muache sasa.
Pigeni kazj acheni porojo
Nje ya mada
 
Hawa naopinga humu ni hao hao viongozi wa kilosa, nchimbi, viongozi wa ccm dumila, kitete kilosa kina watende na kundi lake.
Hata mgoyi mwenyewe ndiye anayepinga humu
Lazima ndo hao wanaopinga kundi lao viongozi wa wilaya, viongozi wa ccm dumila hasa diwani wa mfuru ndug lugome,akina watende ,mnyingi mfanya biashara wa dumila.katibu tarafa mchimbi.alikuwepo na mkuu wa kituo cha dumila nkuba

Huyo katibu tarafa mchimbi anapora maeneo ya wakulima .kuna shamba la mkulima aliliuza akanunua gari
 
Back
Top Bottom