Rais umeweza kuuvunja uliokuwa mwamba wa Dar es Salaam. Mkuu wa wilaya ya Kilosa ndugu Mgoyi anakushinda?

Hebu tukumbushe mwamba aliuvunjaje, last time i checked Makonda aliondoka akielelekea Kigamboni ubungeni
 
Kama i
Kama kilosa inakaliwa na watu mmejaa majungu kama wewe lazima iporomoke tu. Mtu anajiongeza anawekeza kwenye kilimo na anatoa ajira kibao wewe unaombea atumbuliwe. Kwa nini kilosa isife?
Unatetea bila point zenye nguvu
Ninashaka na akili yako na uwezo wako was kupambanua mambo
 
Kama i
Kama kilosa inakaliwa na watu mmejaa majungu kama wewe lazima iporomoke tu. Mtu anajiongeza anawekeza kwenye kilimo na anatoa ajira kibao wewe unaombea atumbuliwe. Kwa nini kilosa isife?
Unatetea bila point zenye nguvu
Ninashaka na akili yako na uwezo wako was kupambanua mambo.
Mimi siishi kilosa Wala morogoro

Lakini ufahamu kuwa mpk watu wanachukua hatua tofauti tofauti ujue huyo mtu hakidhi mahitaji yao au unataka wote wake humu kulalamika.

Kwa taarifa yako hata migogoro ameshindwa kuipunguza licha ya kuimaliza
Wananchi wa kilosa wameshaenda kwa polepole,bashiru na Lukuvi wakati yeye yupo na vikao vingi vimefanyika hao viongozi na wananchi.

Mfano mmoja ni mipaka ya vijiji vilivyokuwa na mgogoro ulioitwa mgogoro wa mabwegere.
Toka Lukuvi aamue kuwa Kijiji kimefutwa,na mipaka ya asili ifufuliwe upya,huu no mwaka was nne hakuna kuainisha hiyo mipaka

Afu wewe unakuja hapa ng'eng'eng'e!! Mmeo no Nini?
 
Mwalibie huyo mpige kidochi au umshtaki kwa igp siro QUOTE="mbikagani, post: 38018414, member: 262982"]
Huyu na timu yake inayoongozwa na Mw/kiti wa CCM wilaya ni kero kwa wakulima Kilosa.
[/QUOTE]
si
 
Huyu mkuu wa wilaya ya Kilosa ndg Mgoyi, ni mjivuni kwelikweli Anafanya anavyotaka wala hajali watu wa wilaya hiyo.

Anachukua ardhi za wakulima bila ridhaa yao. Watu wanalalamika yeye Hana habari nao. Mh Rais nakumbuka ulipokwenda kilosa, ulikuta ana kashfa ya kupora ekari 300 kwenye shamba la mkonge Kimamba ulilofuta hati ya muwekezaji ili wagawiwe wananchi,lakini ulimsamehe na kumataka ajisahihishe.

Bwana yule kwasasa ana mashamba ya mpunga Kilangali na Mvumi kwa maekari.

Wananchi wanakodishwa lakini yeye ana hodhi mamia ya maekari.

Yapo mengi anayafanya kinyume na maadili ya utumishi wa umma.

Yupo afisa tarafa Dumila anaitwa Nchimbi huyo ndiye mtumishi wake na siyo wa umma.
MAJUNGU pro max
 
Wanapenda majungu badala ya kufanya kazi
Wamezunguukwa na maji kila kona, idadi ya watu Morogoro haiendani na ukubwa wa ardhi yao, wana ardhi kubwa mno, uwezo wao wa kufanya kazi ni finyu.
Akijitokeza mchapa kazi aliyeamua kwa dhati kuweka utani pembeni wabweeeka
 
Acha majungu Fanya kazi Kwa bidii baba
Wewe unashiba pamoja na wazazi wako kupitia hao unaowatetea na kuwalamba makalio.
Wapo watu huko vjijini wanateseka.

Maisha yao yote yanategemea kilimo afu anakuja mtu na madaraka yake, amesahau kuwa analipwa kodi za hao anaowapora mashamba.

Ktk hali ya kawaida watu wadhani viongozi wanaoteuliwa na chama chenu no watetezi was wanyonge Kama mnavyojinasibu kumbe mnateteana kwenye uovu
 
Sasa lipi bora, mtu kaamua kulima kwa kufuata sheria na vigezo. Nyinyi mnakimbilia mitandaoni kujaza FITNA.amejiandaa vizuri kisaikolojia ili hata akitenguliwa maisha yake kama mtanzania yaendelee.
Tatizo liko wapi kama anapitia njia halali?
Huyo
Ivi unatumia akili kweli?
Angepata kihalali watu wangelalamika?
Mbona mnajenga hoja kipumbavu?
 
Kama i
Kama kilosa inakaliwa na watu mmejaa majungu kama wewe lazima iporomoke tu. Mtu anajiongeza anawekeza kwenye kilimo na anatoa ajira kibao wewe unaombea atumbuliwe. Kwa nini kilosa isife?
Ondoa ujinga wako hapa, anaruhusiwa kiwango chochote kulima, hoja hapa anapataje ardhi.
Watu wanalalamika wewe unashangilia.
Akiporwa babaako au mamaako ungesema majungu?
 
Back
Top Bottom