Kila kukicha ndugu zetu wafugaji na wakulima wanauwana wenyewe na mifugo yao, tatizo hili sasa limekuwa sugu pamoja na mbwembwe zote za rais kumtumbua aliyekuwa mkuu wa mkoa kwa kushindwa kutatua kutatua tatizo hili, lakini mkuu wa mkoa mpya ndugu kebwe nae kashindwa kabisa.
Ndugu rais naota kabisa sasa umeshindwa kutatua matatizo ya wafugaji ma wakulima morogoro na tanzania kwa ujumla.
Ndugu rais naota kabisa sasa umeshindwa kutatua matatizo ya wafugaji ma wakulima morogoro na tanzania kwa ujumla.