Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

Tatizo ni Wazungu wakishawachanganya bongo zenu mnaami everything. Kwani hii mitishamba tunayotumia sio sayansi? Hivi hujui hii mitishamba ndio wazungu unaowaabudu wanayoitumia ktk sayansi yao in otherways? Badilisha mtazamo ninyi wakenya la sivyo mtapata tabu sana

Sayansi sio wazungu, nenda shule ukapate darasa nini maana ya sayansi, acheni vikombe vya babu. Mnatia huruma sana huko kwenu.
 
Mi namuelewa Mhe. Kenyatta, kapanic flan hivi.
kachukua hatua alizoshauriwa na wataalam wake km kufunga mipaka, lockdown, kufunga shule na kuchukua mkopo kwa mabeparu ili tu atokomeze corona, ila mwisho hajapata matokeo chanya.

Ss akisikia wapiga kura wanataka achukue hatua km za Tz lazma awe mkali kiasi. Cos Tz pamoja na kuchukua local approach za kupambana na Corona, hawajafanya lockdown, hawajafunga mipaka, hawadaiwi na mabepari deni lolote kisa Corona na wananchi wanapiga kazi mwanzo mwisho...

kiukwel, Kenya ni miongoni iliyoyumba kiuchum, kisiasa hata kijamii, cos machafuko kwa jamii dhidi ya Serikali yamekuwa hayaishi. Ss matokeo yake wanachuki na nchi jiran waliopiga hatua kuhusu Corona.

Mi nashauri, Kenyatta alirelax kwanza, hii vita ya corona haijaisha, asitafute vita na jiran tena. Tz iko vzr sana ktk uchum ss hv, na hata akilia lia haimaanishi tutamuonea huruma. Apambane tu,

Karithi utawala akihisi hauna changamoto, fungua akili kuna suluhisho mbele.

Bravo Magufuli, tunapiga kaz,
tunakuombea kwa Mungu kila siku, uchumi tunauona ukikuwa,
SGR & Strigler George...

nature do not abide with human rules...
 
Kenyatta anapaswa kudili na corona kwa njia anazojua yeye mwenyewe. Aache kulalamika. Wananchi wake wanamacho, wanaakili, wanaona na wanasikia kila kitu kilichopo Tanzania. Huku tz hakuna corona hata chembe, huo ndio ukweli na wakenya msijaribu kutuletea corona yenu hapa.
 
Back
Top Bottom