beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Rais Uhuru Kenyatta amesema ikiwa Kenya na Tanzania zitashirikiana, ushindi utakuwa wa wananchi wa Nchi hizo mbili. Amesema Mataifa hayo yajiona kama Nchi ambazo zinashindana hazitaweza kupata Wawekezaji wakubwa
Ameeleza kuwa, Wananchi wa Mataifa hayo wakijiona kama ndugu na kushirikiana badala la kushindana, pande zote zitashinda akiongeza, "Hatuna lolote la kushindana"
Amesema hayo Nairobi wakati akizungumza katika Kongamano la Wafanyabiashara ambalo pia limehudhuriwa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan