Rais Uhuru Kenyatta akipokea zawadi ya Tausi wanne aliopewa na Rais John Pombe Magufuli alipomtembelea wilayani Chato Mkoani Geita hivi karibuni
Unamjua mke wa Kenyatta kweli wewe ?Boss mkiluvya Wewe Kiswahili haujui ... Unajua maana ya neno Kupokea ??? !!!
Tittle na Maelezo yako hayaendani na Picha.
Picha ipo clear, Mh. Rais Kenyata na Mke wake wamepiga picha na Tausi, aliopewa na Mh. Rais Magufuli.
Tittle yako ingesema .... "Mh. Rais Kenyata na Mkewe wapiga picha na Tausi waliopewa zawadi na Mh. Rais Magufuli."
Unamjua mke wa Kenyatta kweli wewe ?
Kwani Ikulu ya Kenya hakuna tausi?Rais Uhuru Kenyatta akipokea zawadi ya Tausi wanne aliopewa na Rais John Pombe Magufuli alipomtembelea wilayani Chato Mkoani Geita hivi karibuni
Yaani urudie statement Kenyatta na mke wake mara mbili halafu useme ni typing error ?Boss Yamakagashi Hizo ni Typing Error,
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya au Mjumbe kutoka Tanzania.
Umefurahi Boss???
Yaani urudie statement Kenyatta na mke wake mara mbili halafu useme ni typing error ?
Duu kazi ipo
WATANZANIA TUMEKUWA TUNACHEZA SANA NA THEORY ZA KUONGOZA MIFUMO YA NCHI IKIWA NI PAMOJA NA KUONGOZA SEKTA MBALIMBALI NA KUJIPA MAISHA MAGUMU BILA SABABU ZA MASINGI JAMBO LA KUJIULIZA NINI MAANA YA SEKTA BINAFSI KATIKA UANDAAJI WA SERIKALI YA VIWANDA?Rais Uhuru Kenyatta akipokea zawadi ya Tausi wanne aliopewa na Rais John Pombe Magufuli alipomtembelea wilayani Chato Mkoani Geita hivi karibuni
WATANZANIA TUMEKUWA TUNACHEZA SANA NA THEORY ZA KUONGOZA MIFUMO YA NCHI IKIWA NI PAMOJA NA KUONGOZA SEKTA MBALIMBALI NA KUJIPA MAISHA MAGUMU BILA SABABU ZA MASINGI JAMBO LA KUJIULIZA NINI MAANA YA SEKTA BINAFSI KATIKA UANDAAJI WA SERIKALI YA VIWANDA?Seat ya mbele kabisa kuangalia mpambanoView attachment 1170969