Your entrace to this clearly shows that Geza is fooling us here.Naona typical tabia za kikenya kwenye thread hii. Kwanini ufustilie maisha ya mtu binafsi!? Yaani unaanza kuuliza kasoma wapi!!? Kaishi wapi!?
Hizi zinaitwa inferiority complex. In JF hatuhitaji kujuana tunahitaji mawazo ya mtu na kujadiliana kwa point. Ndio maana watu wanatumia fake names!?
Hamuwezi hata kufikiri why people uses fake names!?. Kama unatakakutumia jina lako halisi na mtu anataka kujulikana anakuwa verified.
Nimeona utoto wa hali ya juu kwenye hii thread. Kwa hali hii UKABILA NA UBAGUZI HAUTAISHA KENYA. Sisi Tanzania tunawaombea.
Kuna watanzania wengi tu wana support wakenya. Lakini hatuwezi kuulizana vitu personal.