Rais Uhuru ashinikiza masharti ya usawa kwenye bisahara baina ya China na Kenya

Naona typical tabia za kikenya kwenye thread hii. Kwanini ufustilie maisha ya mtu binafsi!? Yaani unaanza kuuliza kasoma wapi!!? Kaishi wapi!?
Hizi zinaitwa inferiority complex. In JF hatuhitaji kujuana tunahitaji mawazo ya mtu na kujadiliana kwa point. Ndio maana watu wanatumia fake names!?

Hamuwezi hata kufikiri why people uses fake names!?. Kama unatakakutumia jina lako halisi na mtu anataka kujulikana anakuwa verified.

Nimeona utoto wa hali ya juu kwenye hii thread. Kwa hali hii UKABILA NA UBAGUZI HAUTAISHA KENYA. Sisi Tanzania tunawaombea.

Kuna watanzania wengi tu wana support wakenya. Lakini hatuwezi kuulizana vitu personal.
Your entrace to this clearly shows that Geza is fooling us here.
 
That is a snapshot of my kenyan life from nursery school to Treasury and beyond. That is my contribution to project kenya..
Most of you here yap about kenya and have not done anything of public service, When you see me dismissing Uhuru and Jubilee as idiots and scundrels, its because I hold kenya in very high regard, infact none of you comes close to my patriotism, I just cant stand kenya being led by clueless idiots.
 
maneno matupu..Usa imewekewa masharti mangumu hadi trump akaaza trade war,kenya na umaskini wake ni bure tu..Ziara ya kupata per diem na kuhepa shida zilizopo kenya angalau kwa siku moja
hakuna masoko magumu kama ya inchi za kijamaa mara nyingi raia wake hupendelea bidhaa za inchini kwao hasa china sasa africa tunazalisha nn ambacho mchina hawez kuzalisha
 
Sisi hizo kazi anazofanya Uhuru wanafanya mabalozi. Maswala ya trade show na mikataba ya kibiashara imekuwa ikisainiwa kila kukicha.... Sikuzote China hujipambanua kufanya biashara na Africa za win win situation. Labda mngesema Uhuru kaenda kufata pesa za SGR hapo ningeona sawa
Tutegemee juice ya unga ya avocado kutoka china hawa jamaa wajanja sana
 
hakuna masoko magumu kama ya inchi za kijamaa mara nyingi raia wake hupendelea bidhaa za inchini kwao hasa china sasa africa tunazalisha nn ambacho mchina hawez kuzalisha
Mchina atanunua hizo avocado atasindika na kuuza kenya pia anaweza tengeneza lotion shampoo dawa za nguvu za kiume na za kunenepesha makalio chezea mchina wewe!
 
How can yoy hav straight As in school yet forget the year you finished both kcpe and kcse ,hii story ya huyo msee haija add up for me
 
That is a snapshot of my kenyan life from nursery school to Treasury and beyond. That is my contribution to project kenya..
Most of you here yap about kenya and have not done anything of public service, When you see me dismissing Uhuru and Jubilee as idiots and scundrels, its because I hold kenya in very high regard, infact none of you comes close to my patriotism, I just cant stand kenya being led by clueless idiots.
Don't even come close to labling yourself as patriotic, whatever you have is something no Kenyan should catch.... You critized everything Kenyan ... Sometimes for no reason as long as it's good news from Kenya you just dismiss it with Tz this, Tz that...JPM this JPM that........

For one to be patriotic you don't have to love The current president or even the govt for that matter! You just have to love your country and its people, with all the bad and good in between......
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom