Rais Uhuru achakarika ili awe na kuonyesha uchaguzi ukifikia

MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,000
Likes
9,993
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,000 9,993 280
Siasa na Kenya tamu, rais amepanic na anachakarika balaa, yupo kila maeneo akifuatilia kila mradi neno kwa neno maana anajua Wakenya silaha yao kubwa ni kadi ya kupigia kura, na anaweza pigwa chini bila wasiwasi.

Mradi wa barabara kilomita 10,000 anafuatilia kila wiki, vikao balaa. Humo kuna ile barabara ya Mombasa kuelekea Nairobi, kuna maeneo zitakua sita na kwengine ziwe nne.

Halafu reli ya SGR safu ya Mombasa-Nairobi itakamilika kabla ya wakati, miradi ya umeme inapepea noma noma, masuala ya mafuta ndio kabisa yumo huko. Yaani "hapa kasi tu", hamna cha kuzubaa wala nini maana wembe wa kumnyoa upo tu.

Cha msingi ni Wakenya tuendelee kutoa ushirikiano na kuhakikisha yote yanafaulu.

jubpic.jpg

Road construction workers at Mutomo Town await President Uhuru Kenyatta to commission the tarmacking of Kitui-Mutomo-Kibwezi road on June 11, 2016. Transport CS Macharia said the government was rehabilitating and upgrading roads at county level in a bid to ease the transportation of goods. PHOTO | THOMAS WAITA | NATION MEDIA GROUP

The Jubilee administration is racing against time to fulfil its ambitious pledge of building 10,000 kilometres of roads ahead of the next elections.

Sources said the matter has become so important that President Uhuru Kenyatta makes it appear on his agenda during meetings with leaders of developing nations and donors to ensure he has a positive report to present to Kenyans when he seeks re-election in 2017.

This was perhaps the reason financing of roads was high on his agenda when he travelled to Brussels in Belgium, where the European Union (EU) headquarters is located, 12 days ago.

Meetings were held with financiers of Kenya’s infrastructure programme.

With him was Transport and Infrastructure Cabinet Secretary James Macharia, whose task was to negotiate and sign deals with the EU and its investment organ, the European Investment Bank, to release funds for construction of roads.

“We are concluding with the European Union a facility that will hopefully be signed shortly, to see how we can expand the road to Mombasa from Mariakani. Because for us, Mombasa is a key and critical entry point, not just to Kenya, but to the greater East African region,” President Kenyatta told Kenyan journalists who had accompanied him on the trip.

“You all know the congestion that is there. We are grateful for the European Union support on this matter,” he added.

The EU plays a significant role in the financing of infrastructure in Kenya, and entered into an agreement with the government to spend €437.5 million (Sh50 billion) on roads in the country between 2014 and 2020.

Government statistics show that more than 2,100 kilometres of new roads have been tarmacked since the Jubilee administration assumed office in 2013, and work on 3,000 kilometres is set for completion before its term ends in 2017.

In an interview with the Nation, Mr Macharia said the government was rehabilitating and upgrading roads at county level in a bid to ease the transportation of goods.

“These projects will be in every county in Kenya. These projects will boost agriculture, tourism, trade and other economic activities and turn Kenya into African giant,” he said.

During the three-day visit to Brussels, Kenya struck a deal to expand a 30-kilometre stretch of the Mombasa-Nairobi highway, with the EU providing €250 million (Sh28.1 billion).

Phase 1 of the road from Mombasa to Kwa Jomvu will have six lanes, while the section from Jomvu to Mariakani will be expanded to four lanes.

Other financiers of the roads are the Germany Government-owned bank KfW — €50 million (Sh3.5 billion), European Investment Bank — €50 million, with a government contribution of Sh630 million.

The project, which is expected to start in October, is however, likely to be delayed by issues of land compensation.

“The cost of land is very high, especially in Mombasa. Imagine we are paying Sh8 billion from 1 kilometre to 8 kilometre.

Jubilee rushes to complete roadworks ahead of 2017 polls
 
mtanganyika mpya

mtanganyika mpya

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Messages
299
Likes
112
Points
60
mtanganyika mpya

mtanganyika mpya

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2015
299 112 60
Kazi mnayo alikuwa wapi miaka yote now ndo kazinduka.
Na madeni anayo waingiza cjui mmejipanga mtayalipaje.

Ila all in all its a Good move sisi JPM ndo kaanza na kasi ya ajabu in 5 years Tutakuwa mbali sana jamaa is very positive ila huyo wenu muigizaji
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
16,612
Likes
8,926
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
16,612 8,926 280
A reason i doubt Ethiopia-Lamu pipeline to ever to take place! To me sounds to be a hogwash aimed to get more votes after losing a real deal i.e. Uganda pipeline.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,000
Likes
9,993
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,000 9,993 280
Kazi mnayo alikuwa wapi miaka yote now ndo kazinduka.
Na madeni anayo waingiza cjui mmejipanga mtayalipaje.

Ila all in all its a Good move sisi JPM ndo kaanza na kasi ya ajabu in 5 years Tutakuwa mbali sana jamaa is very positive ila huyo wenu muigizaji
Kama umesoma taarifa vizuri, utaelewa kwamba anajitahidi amalize na kukamilisha ahadi zake, na sio kwamba ndio anaanza. Ikuingie Kenya rais hapati kura kwa maigizo ya pushups au kushtukiza shtukiza, bali kwa matendo na mafanikio. Uhuru anachokifanya ni kujitahidi kukamilisha ahadi zake, maana anafahamu Wakenya wamejiandaa na orodha ya hizo ahadi zake za kampeni, na ndio watatumia kumhoji.

Kweli hajakamilisha zote, lakini kuna mambo ambayo tunaweza kusema tunayaona, japo tunagekemea zaidi. Halafu suala la bomba halikua ahadi ya kampeni, huo ni muundo mbinu wa kusafirisha mafuta. Cha msingi ni afaulu kuuza mafuta. Baadhi ya mambo ambayo amefaulu kufanikisha kufikia sasa ni pamoja na

- Upokezaji wa hati miliki (title deeds) 2,322,913 za mashamba na viwanja
- Bajeti ya shule za msingi ilikua 8.96 b mwaka 2012/2013, imeongezwa hadi 14.1b
- Bajeti kwa ajili ya shule za upili/sekondari ilikua 19.2 b mwaka wa 2012/2013 imepanda hadi 32.5b
- Bajeti ya mikopo ya elimu ya chuo kikuu imepanda kutokea 5.5b hadi 7.6b
- Magari 2,400 yameongezwa kwa ajili ya usalama wa nchi
- Vituo vya huduma za serikali vimefikia sasa zaidi ya 40, ambapo raia akiingia kwenye Huduma centre anapata huduma nyingi tu bila haja ya kusafiri sana
- Wakati Uhuru anaingia, shule 8,000 zilikua zimeunga kwenye umeme, kufikia sasa shule 20,450 zimeunganishwa kwenye umeme
- Kabla Uhuru hajawa rais, nyumba 2.3m ndio zilikua na umeme, leo hii namba imefikia 4.1m. Kwa kifupi, Wakenya waliounga kwenye umeme wamepita asilimia 50%
- 1,660 megawatts ndio zilikuwepo wakati anaanza, leo hii amefaulu kuongeza 600 megawatts

Hizo ni baadhi tu ya mafanikio, orodha ni ndefu, sijataja mengi yakiwemo miradi mikubwa ya usafiri na bado tunategemea afanye zaidi la sivyo hatokua katika hali nzuri wakati wa kampeni.
 
fakalava

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Messages
4,350
Likes
5,578
Points
280
fakalava

fakalava

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2015
4,350 5,578 280
Ikuingie Kenya rais hapati kura kwa maigizo ya pushups au kushtukiza shtukiza,
Hapa ndiyo huwa unaniacha, unapohama kwenye mada ukaanza kukatakata viuno kama unagongwa.
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,214
Likes
17,501
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,214 17,501 280
Siasa na Kenya tamu, rais amepanic na anachakarika balaa, yupo kila maeneo akifuatilia kila mradi neno kwa neno maana anajua Wakenya silaha yao kubwa ni kadi ya kupigia kura, na anaweza pigwa chini bila wasiwasi.

Mradi wa barabara kilomita 10,000 anafuatilia kila wiki, vikao balaa. Humo kuna ile barabara ya Mombasa kuelekea Nairobi, kuna maeneo zitakua sita na kwengine ziwe nne.

Halafu reli ya SGR safu ya Mombasa-Nairobi itakamilika kabla ya wakati, miradi ya umeme inapepea noma noma, masuala ya mafuta ndio kabisa yumo huko. Yaani "hapa kasi tu", hamna cha kuzubaa wala nini maana wembe wa kumnyoa upo tu.

Cha msingi ni Wakenya tuendelee kutoa ushirikiano na kuhakikisha yote yanafaulu.

jubpic.jpg

Road construction workers at Mutomo Town await President Uhuru Kenyatta to commission the tarmacking of Kitui-Mutomo-Kibwezi road on June 11, 2016. Transport CS Macharia said the government was rehabilitating and upgrading roads at county level in a bid to ease the transportation of goods. PHOTO | THOMAS WAITA | NATION MEDIA GROUP

The Jubilee administration is racing against time to fulfil its ambitious pledge of building 10,000 kilometres of roads ahead of the next elections.

Sources said the matter has become so important that President Uhuru Kenyatta makes it appear on his agenda during meetings with leaders of developing nations and donors to ensure he has a positive report to present to Kenyans when he seeks re-election in 2017.

This was perhaps the reason financing of roads was high on his agenda when he travelled to Brussels in Belgium, where the European Union (EU) headquarters is located, 12 days ago.

Meetings were held with financiers of Kenya’s infrastructure programme.

With him was Transport and Infrastructure Cabinet Secretary James Macharia, whose task was to negotiate and sign deals with the EU and its investment organ, the European Investment Bank, to release funds for construction of roads.

“We are concluding with the European Union a facility that will hopefully be signed shortly, to see how we can expand the road to Mombasa from Mariakani. Because for us, Mombasa is a key and critical entry point, not just to Kenya, but to the greater East African region,” President Kenyatta told Kenyan journalists who had accompanied him on the trip.

“You all know the congestion that is there. We are grateful for the European Union support on this matter,” he added.

The EU plays a significant role in the financing of infrastructure in Kenya, and entered into an agreement with the government to spend €437.5 million (Sh50 billion) on roads in the country between 2014 and 2020.

Government statistics show that more than 2,100 kilometres of new roads have been tarmacked since the Jubilee administration assumed office in 2013, and work on 3,000 kilometres is set for completion before its term ends in 2017.

In an interview with the Nation, Mr Macharia said the government was rehabilitating and upgrading roads at county level in a bid to ease the transportation of goods.

“These projects will be in every county in Kenya. These projects will boost agriculture, tourism, trade and other economic activities and turn Kenya into African giant,” he said.

During the three-day visit to Brussels, Kenya struck a deal to expand a 30-kilometre stretch of the Mombasa-Nairobi highway, with the EU providing €250 million (Sh28.1 billion).

Phase 1 of the road from Mombasa to Kwa Jomvu will have six lanes, while the section from Jomvu to Mariakani will be expanded to four lanes.

Other financiers of the roads are the Germany Government-owned bank KfW — €50 million (Sh3.5 billion), European Investment Bank — €50 million, with a government contribution of Sh630 million.

The project, which is expected to start in October, is however, likely to be delayed by issues of land compensation.

“The cost of land is very high, especially in Mombasa. Imagine we are paying Sh8 billion from 1 kilometre to 8 kilometre.

Jubilee rushes to complete roadworks ahead of 2017 polls

Hongera sana Uhuru Kenya, lkn sidhani kama Mjaluo anajali hilo, yeye anafanya kile Raila Odinga atakachosema, kama Raila akisema mpigie kura Uhuru Kenya watampigia kama Raila akisema msimipigie basi na itakuwa hivyo, hivyo haijalishi Uhuru Kenya amejenga Reli au br. kubwa na nzuri kwa kiasi gani bali flag bearer wa kundi fulani anasema nini!!
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,000
Likes
9,993
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,000 9,993 280
Hapa ndiyo huwa unaniacha, unapohama kwenye mada ukaanza kukatakata viuno kama unagongwa.
Ni wapi hujanielewa hapo, Kenya ndio upate urais, lazima ujieleze kwa wananchi na wakuelewe. Hebu tizama hii video ya mdahalo wa urais, Afrika yote wapi kuna kitu kama hiki.
 
fakalava

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Messages
4,350
Likes
5,578
Points
280
fakalava

fakalava

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2015
4,350 5,578 280
Ni wapi hujanielewa hapo, Kenya ndio upate urais, lazima ujieleze kwa wananchi na wakuelewe. Hebu tizama hii video ya mdahalo wa urais, Afrika yote wapi kuna kitu kama hiki.
Kenyatta anajielewa sana ndiyo maana aliwaita Wakenya majizi.
 
mtanganyika mpya

mtanganyika mpya

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Messages
299
Likes
112
Points
60
mtanganyika mpya

mtanganyika mpya

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2015
299 112 60
Kama umesoma taarifa vizuri, utaelewa kwamba anajitahidi amalize na kukamilisha ahadi zake, na sio kwamba ndio anaanza. Ikuingie Kenya rais hapati kura kwa maigizo ya pushups au kushtukiza shtukiza, bali kwa matendo na mafanikio. Uhuru anachokifanya ni kujitahidi kukamilisha ahadi zake, maana anafahamu Wakenya wamejiandaa na orodha ya hizo ahadi zake za kampeni, na ndio watatumia kumhoji.

Kweli hajakamilisha zote, lakini kuna mambo ambayo tunaweza kusema tunayaona, japo tunagekemea zaidi. Halafu suala la bomba halikua ahadi ya kampeni, huo ni muundo mbinu wa kusafirisha mafuta. Cha msingi ni afaulu kuuza mafuta. Baadhi ya mambo ambayo amefaulu kufanikisha kufikia sasa ni pamoja na

- Upokezaji wa hati miliki (title deeds) 2,322,913 za mashamba na viwanja
- Bajeti ya shule za msingi ilikua 8.96 b mwaka 2012/2013, imeongezwa hadi 14.1b
- Bajeti kwa ajili ya shule za upili/sekondari ilikua 19.2 b mwaka wa 2012/2013 imepanda hadi 32.5b
- Bajeti ya mikopo ya elimu ya chuo kikuu imepanda kutokea 5.5b hadi 7.6b
- Magari 2,400 yameongezwa kwa ajili ya usalama wa nchi
- Vituo vya huduma za serikali vimefikia sasa zaidi ya 40, ambapo raia akiingia kwenye Huduma centre anapata huduma nyingi tu bila haja ya kusafiri sana
- Wakati Uhuru anaingia, shule 8,000 zilikua zimeunga kwenye umeme, kufikia sasa shule 20,450 zimeunganishwa kwenye umeme
- Kabla Uhuru hajawa rais, nyumba 2.3m ndio zilikua na umeme, leo hii namba imefikia 4.1m. Kwa kifupi, Wakenya waliounga kwenye umeme wamepita asilimia 50%
- 1,660 megawatts ndio zilikuwepo wakati anaanza, leo hii amefaulu kuongeza 600 megawatts

Hizo ni baadhi tu ya mafanikio, orodha ni ndefu, sijataja mengi yakiwemo miradi mikubwa ya usafiri na bado tunategemea afanye zaidi la sivyo hatokua katika hali nzuri wakati wa kampeni.

Ndo tutakuja ona mtapo ishia kama unazani watu JPM walimchagua coz of pushups then kip watching TZ.
But no hurt fillings hamna jipya la kututisha nalo.

Ila madeni ya nje ndo yatawanyoosha
 
B

burukenge

Senior Member
Joined
Mar 23, 2016
Messages
177
Likes
73
Points
60
B

burukenge

Senior Member
Joined Mar 23, 2016
177 73 60
Kenyatta anajielewa sana ndiyo maana aliwaita Wakenya majizi.
Mk254 amekupa maelezo kamilifu lakini wewe unakurupuka tu.hapa kenya ni kupepea kweli akipata muhula wa pili na amani sijui uchumi wetu utapaa vipi
 
B

burukenge

Senior Member
Joined
Mar 23, 2016
Messages
177
Likes
73
Points
60
B

burukenge

Senior Member
Joined Mar 23, 2016
177 73 60
Mkuu
Kama umesoma taarifa vizuri, utaelewa kwamba anajitahidi amalize na kukamilisha ahadi zake, na sio kwamba ndio anaanza. Ikuingie Kenya rais hapati kura kwa maigizo ya pushups au kushtukiza shtukiza, bali kwa matendo na mafanikio. Uhuru anachokifanya ni kujitahidi kukamilisha ahadi zake, maana anafahamu Wakenya wamejiandaa na orodha ya hizo ahadi zake za kampeni, na ndio watatumia kumhoji.

Kweli hajakamilisha zote, lakini kuna mambo ambayo tunaweza kusema tunayaona, japo tunagekemea zaidi. Halafu suala la bomba halikua ahadi ya kampeni, huo ni muundo mbinu wa kusafirisha mafuta. Cha msingi ni afaulu kuuza mafuta. Baadhi ya mambo ambayo amefaulu kufanikisha kufikia sasa ni pamoja na

- Upokezaji wa hati miliki (title deeds) 2,322,913 za mashamba na viwanja
- Bajeti ya shule za msingi ilikua 8.96 b mwaka 2012/2013, imeongezwa hadi 14.1b
- Bajeti kwa ajili ya shule za upili/sekondari ilikua 19.2 b mwaka wa 2012/2013 imepanda hadi 32.5b
- Bajeti ya mikopo ya elimu ya chuo kikuu imepanda kutokea 5.5b hadi 7.6b
- Magari 2,400 yameongezwa kwa ajili ya usalama wa nchi
- Vituo vya huduma za serikali vimefikia sasa zaidi ya 40, ambapo raia akiingia kwenye Huduma centre anapata huduma nyingi tu bila haja ya kusafiri sana
- Wakati Uhuru anaingia, shule 8,000 zilikua zimeunga kwenye umeme, kufikia sasa shule 20,450 zimeunganishwa kwenye umeme
- Kabla Uhuru hajawa rais, nyumba 2.3m ndio zilikua na umeme, leo hii namba imefikia 4.1m. Kwa kifupi, Wakenya waliounga kwenye umeme wamepita asilimia 50%
- 1,660 megawatts ndio zilikuwepo wakati anaanza, leo hii amefaulu kuongeza 600 megawatts

Hizo ni baadhi tu ya mafanikio, orodha ni ndefu, sijataja mengi yakiwemo miradi mikubwa ya usafiri na bado tunategemea afanye zaidi la sivyo hatokua katika hali nzuri wakati wa kampeni.
Mkuu hiyo ya pushups za mganga wa chato imenimaliza na kicheko..:D:D
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,000
Likes
9,993
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,000 9,993 280
Ndo tutakuja ona mtapo ishia kama unazani watu JPM walimchagua coz of pushups then kip watching TZ.
But no hurt fillings hamna jipya la kututisha nalo.

Ila madeni ya nje ndo yatawanyoosha
Hatufanyi yetu ili tuwatishe, maana hatuna muda na mataifa ambayo yapo nyuma yetu kwa kila kitu, mataifa ambayo yanatajwa kwenye LDC hatuna muda nayo.
Kwa sasa macho yetu yameangaza kule mbele. Ni mwendo wa kurusha vumbi nyuma yetu.

Kila taifa lina deni, hata Marekani ndio usipime, cha msingi ni kujiuliza nini unachokifanya kwa hiyo mikopo. Nyie nimesema bajeti yenu ndogo, nusu ya Kenya lakini bado mnakopa na kuzungusha kibakuli cha misaada.
 
Eyce

Eyce

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
1,043
Likes
1,763
Points
280
Eyce

Eyce

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
1,043 1,763 280
Hapa ndo huwa nakereka....maada ni ya Kenya hivyo comparison inatoka wapi....

By the way, siku zote rais akiwa madarakani hathaminiki lakini kwa Mimi nionavyo, Kenyatta ni rais mzuri kiuchumi na hilo halihitaji torch kumulika...
Akiwa anaongea huongea point AF husound very matured.,. Ingawa anatekeza miradi ya kibaki lakini so far amefanya vyema..
 
B

burukenge

Senior Member
Joined
Mar 23, 2016
Messages
177
Likes
73
Points
60
B

burukenge

Senior Member
Joined Mar 23, 2016
177 73 60
Hapa ndo huwa nakereka....maada ni ya Kenya hivyo comparison inatoka wapi....

By the way, siku zote rais akiwa madarakani hathaminiki lakini kwa Mimi nionavyo, Kenyatta ni rais mzuri kiuchumi na hilo halihitaji torch kumulika...
Akiwa anaongea huongea point AF husound very matured.,. Ingawa anatekeza miradi ya kibaki lakini so far amefanya vyema..
At least unaongelea mambo ambayo yana mantiki ya kueleweka sio kaa wazimu wa shaabab ..geza..:D
 
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
4,916
Likes
3,528
Points
280
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2012
4,916 3,528 280
katika maraisi wa east africa Kenyatta kwangu ndio namba moja,huyu ni pure leader unajua kuwa kiongozi mkuu lazima uwe exposed na mambo kadha wa kadha yakijamii na sio ya kijamii,uweunajua biashara hata kama hufanyi biashara na haujawahi kufanya mahusiano na watu mbalimbali ulmwenguni..!!Uhuru ndio type hiyo ndomana hata speech zake huwezi kuta mtu amelala,kuna huyu yeye speech anayotakiwa kuitoa ni utambuzi mengine anajua yeye issue ya shule unaskia kaleta story za wamachinga
 
B

burukenge

Senior Member
Joined
Mar 23, 2016
Messages
177
Likes
73
Points
60
B

burukenge

Senior Member
Joined Mar 23, 2016
177 73 60
katika maraisi wa east africa Kenyatta kwangu ndio namba moja,huyu ni pure leader unajua kuwa kiongozi mkuu lazima uwe exposed na mambo kadha wa kadha yakijamii na sio ya kijamii,uweunajua biashara hata kama hufanyi biashara na haujawahi kufanya mahusiano na watu mbalimbali ulmwenguni..!!Uhuru ndio type hiyo ndomana hata speech zake huwezi kuta mtu amelala,kuna huyu yeye speech anayotakiwa kuitoa ni utambuzi mengine anajua yeye issue ya shule unaskia kaleta story za wamachinga
Huyu ni rais na hajigambi kamwe, alafu wakenya sio watu lala.lazma atie bidii ndio apate muhula wa pili na nina uhakika ana deserve.
Hapa ndio naona miaka yake mitano ijayo tutapepea kweli.
 
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
3,930
Likes
3,351
Points
280
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
3,930 3,351 280
akileta ma industry hakuna mtu atawai msaliti
tmp-cam-2090141296-jpg.360904
 
1

1 Africa

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
878
Likes
465
Points
80
1

1 Africa

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
878 465 80
Next year will be the year of reaping... Most Megaprojects end then. Hope he continues with the same spirit.
 
Forum statistics

Threads 1,236,757
Members 475,220
Posts 29,267,901