Rais tuziangalie NGOs zote haswa za Afya

Nimefurahi kwa juhudi zako za kisoma na kutambua upuuzi wa NGOs nyingi zinazotuletea mambo ya ajabu ajabu kupitia misaada ya fedha ambazo kimsingi ni fedha zetu walizotuibia kipindi cha ukoloni na wanazoendelea kutuibia hadi leo.

NGOs nyingi zinapika data ili kuonesha mabaya katika jamii ili tu zinufaike kwa kujidai zinasaidia. Ziko NGOs zinazotuaminisha kuwa eti wanafunzi wa kike wanafeli kwa sababu ya kukosa shule wakati wakiwa kwenye hedhi.

NGOs hizi zinatuaminisha kuwa bila pedi eti watoto wetu wa kike watafeli...huu ni upuuzi na kutuondolea maadili. Leo hii ukiangalia taarifa ya habari na mtoto wako wa kike au mama yako mnaanza kuoneana aibu kwa tangazo la kipuuzi.

Ni lazima kama nchi tuje na miongozo mipya dhidi ya hii western indoctrination.
Pia tupige marufuku ya matangazo yanayosema kwa hisani ya nchi fulani...
Asante JPM kwa kubaini upuuzi unaofanywa na NGOs.Hizi ni back door avenues za kufanikisha nia ovu za wakoloni.Watendaji wa serikali wasiokuwa waaminifu wamekuwa wanatumiwa sana na entities hizi kufanikisha nia zao ovu kwa taifa letu,we have to say no to this nonsense.Eti NGO ya kuhamasisha upatikanaji wa pads mashuleni,kutahiri wanaume, nonsense.Hivi kwa nini tudhalilishwe hivi?Very unacceptable.
 
Hongera kwa wizara ya afya kwa kuanza kuwafuatilia hizi NGOs.
Kila kukicha ni kuibua data za uongo
 
Ndugu, Jingalao! Naomba Fanya utafiti kwanza kabla ya kujenga hoja nyepesi kama hii ya kukataa na kushangaa kwamba mtoto wa Kike huwezi kufeli Shauri ya kukosa pedi au taulo za Kike.

Msichana walio wengi kati ya darasa la 5-7 hukosa vipindi kwa siku 2 hadi 5 kila mwezi Mara Mwaka mmoja kutokana na yatokanayo na maumbile yao menstrual period na Huduma duni zake ikiwemo kukosa taulo. Kwa siku kuna vipindi 8 acha topic mtoto huyu hana mazingira ya kuweza kucover hizo topic hadi anafanya mtihani wa Shule au wa taifa ...hapa unaweza dadafua zaidi.

Wengine huathirika kisaiolojia, nakupa ushahidi wa Watoto waliofeli kabisa totally masomo na mitihani na wengine kukataa Shule 100%
1. Uelewa duni wa Watoto wengine na hata waalimu ..mtoto alivunja ungo kwa Mara ya kwanza akiwa darasani saa 4 asubuhi na tone la damu likachafua sketi yake na damu ikaonekana na wenzao na waalimu na wanafunzi wakamnyanyapaa kwa kusema katoa mimba!!!

Ndugu yangu matokeo ya huo tendo hadi Leo yule Dada alikuwa the best student Leo hii ni fukara wa hali ya Juu

Pole na Mawazo yako
 
Tuna viongozi wa kike waliosoma enzi hizo je hawakuwa wakienda hedhi?
 
Inaonekana una roho mbaya sana. Sijui kama una mtoto wa kike ambaye amepevuka na unaongea haya. Ila nakuchukulia mpuuzi tu maana hujielewi na hata unalosema ni upuuzi tu. Jinga lao!!!
 
watoto wa kike wameanza kuzaliwa lini?
 
Back
Top Bottom