The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Mh sana, kumezuka tabia ya viongozi mbalimbali kujiamlia mambo yao kienyeji mpaka wameanza kupiga marufuku wananchi kuingia masokoni kisa barakoa.
Hali hii inaleta usumbufu sana kwa wananchi mpaka kupelekea wengine kupigwa na hao wanaojiita viongozi wa masoko.
Rais wetu sema neno moja tu la kutufariji dhidi ya kadhia hii, kwanza kuvaa barakoa si msimamo halisi wa serikali dhidi ya ugonjwa huu.