Rais (Sultan wa Brunei) tajiri kuliko wote duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais (Sultan wa Brunei) tajiri kuliko wote duniani

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 6, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Unazidi Utajiri wa Sultan wa Brunei 90 euro kila sekunde

  [​IMG]

  sultan wa brunei Mohammad hassan Bolkiah raisi tajiri kuliko maraisi wote duniani, Maarufu kwa utumiaji wa dhahabu kwa kila kitu, hali ila na vijiko vya dhahabu, na nguo anazo vaa zimepambwa kwa dhahabu na fedha

  Hizi ni baadhi ya palace zake, zinajulikana kuwa ni palace za kifaghari kuliko zote duniani zilizo pambwa kwa almasi 1788. vyoo vyake zimepambwa kwa dhahabu na fedha 257. Car park yake inatosha kupaki gari 110, Palace yake inazo picha 650 zilizo wekwa katika frame, frame ya rahisi kabisa katika frame hizo ni 150.000 Euro  [​IMG]


  [​IMG]


  Ndege ya Sultan wa Brunei

  Ndege hii ni kubwa duniani ilio pambwa kwa dhahabu, Sultan huyu anamiliki pia ndege aina ya Boing 747 thamani yake milion 100 dolla ilio tengenezwa kwa ndani kwa thamani inao zidi milioni 120 dolla, ina vyoo na vyumba vya dhahabu, pia anamiliki ndege ndogo sita na helicopta moja.  .[​IMG]


  [​IMG]


  .[​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]


  .[​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
  Gari ya mtoto wa Sultan wa Brunei

  Imetengenezwa na rose rise co. kwa special order kutoka kwa Sultan, gari hii ina shape ya rose rise ilio changanyikana na ya porsche, gari hii ipo London anaitumia akiwa huko London tu.

  [​IMG]


  [​IMG]  [​IMG]

  Arusi ya mtoto wa Sultan wa Brunei ilio fanyika kwa muda wa siku 14 kwa gharama ya 5 milion dolla, ilio hudhuriwa na zaidi ya maraisi 25.  [​IMG]


  [​IMG]


  Gari ya Raisi wa Brunei ilio pambwa kwa dhahabu

  [​IMG]


  [​IMG]  [​IMG]


  Amira amevaa kichwani mwake taji ya almasi  [​IMG]

  Haya yalio andikwa katika wikipedia


  wanasema Sultan huyu anamiliki

  531 mercedes
  367 ferrari
  362 Yabntal
  185 BMW
  177 jaguar
  160 porsche
  130 Rose rise

  Na

  20 lamborghini


  Jumla za gari zake ni 1932
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,547
  Likes Received: 18,205
  Trophy Points: 280
  Alhamdidulah! Mabata Ushungu Walalahi!.
  Sultani huyu ana nasaba na Sultan Seyyid Bin Said wa Oman, na ndie mfadhili anayemkirimu yule Sultan anayesubiri msamaa wa rais mtarajiwa wa Zanzibar, na pia ndie mfadhili wa mkuu wa chama fulani cha siasa hapa nchini.

  Aminini msiamini subirini kidogo tuu baada ya Uchaguzi, Zanzibar itageuka Peponi, kama Ahera!.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hata maisha ya wananchi wake ni mazuri.serikali inalipa gharama zote muhimu, mpaka chakula kinalipiwa ruzuku. ukifanya kazi kule hakuna income tax.
  anasimamia vizuri sana export ya mafuta.
   
 4. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ana wake wangapi?
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  anakusaidia nini huyo? kaburi ameshachima lakini, hayo ni maisha ya dunia tu, tafuta yako. au kwasababu anatoka nchi ya kiislam?hopeless kutegemea na kujivunia vya wenzako.
   
 6. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  duh..kweli kuna watu wanaonja pepo wakiwa hapa duniani pia wapo wanaoonja jehanam wakiwa hapa hapa duniani
   
 7. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huyo ni udongo tu. pepo ya waislam labda ndo inaweza kuwa kama hiyo kama wewe unalinganisha pepo zenu na huo uchafu anaouonyesha hapo...kuna faida gani kuishi maisha ya kifahari namna hiyo wakati kuna waislam wenzie duniani wanakufa na njaa, angalia waislam wenzie somalia, sudan, chad, niger etc, si anajiaibisha mwenyewe, kwangu mimi huyo hana lolote halafu naona kama hana akili nzuru. unajua tatizo la waaarabu, huwa wanakuwa na roho ngumuuuuu, hawanaga huruma na mtu hata kwa waislam wenzao...ndo maana waarabu pamoja na kujifanya rafiki wa watz hawajawai kuleta hata msaada wa kujenga darasa la shule moja tu hapa zaidi ya kujenga misikiti ili muuungu wao uabudiwe humo. hana maana huyo,

  mpumbavu alisema moyoni mwake, aaa, nimechuma pesa, nimekuwa tajiri, sasa ni wakati wangu kukaa chini kula na kunywaaa tuuuu, Mungu akamwambia, mpumbavu wewe, leo hii naitaka roho yako...hapo ndo atapata jibu. maisha ya kifahari hapa duniani bila kuwasaidia wenzio ni upepo na upuuzi mtupu. hakukuwa hata na haja ya kumleta huyo mwislam mwenzenu aje awaaibisha hapa. kwasababu anawawakilisha ninyi mlio wengi.
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mhh akifa bas azikwe navyo lol!
   
 9. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  uliza kama msalani haendi, kama anajiona yuko tofauti na wale watoto wanaokufa somalia na darfu.
   
 10. b

  bwanashamba Senior Member

  #10
  May 9, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana ata kaarufu ka ufisad jamani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 11. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mlemle kwenye nchi yake una watu wanaganga njaaa. weka statistic za kidunia uone hapo kuhusu living standard ya nchi yake.
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  May 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nasikia kuwa ukiwa na chuki na zikizidi hizo chuki zinaondoa busara na hikma.
   
 13. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...nadhani pia atakuwa na tatizo la Inferiority Complex!! Kwa nini umiliki magari 1932 kwa maana ya kwamba kama unaedesha moja kila siku ukiendesha moja leo huliendeshi tena mpaka baada ya miaka karibia sita ambapo hata model yake itakuwa imeishapita??? na kama huwezi kuyaendesha yote, Why own them???
   
 14. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ufahari wa kipumbavu
   
Loading...