Rais sio mjinga,watanzania tuache kufata tusilolijua,lazima tuheshimu maamuzi ya Rais ndio kiongozi wetu mkuu kwa nguvu ya umma!

Nchi za kiafrika, raisi ni mungu yaani hakosolewi, na chochote akifanyacho kipo sahihi. Sipati picha kipindi kile Trump ameshinda na watu waliandamana na wengine mpaka wanasanamu ya Trump ikiwa uchi. Jenga picha upo bongo umebeba mdoli wa kiongozi fulani mkuu wa nchi. Umesahau kuweka namba yako ya simu maana mkulu anapenda sana watu wa YES

Yule bwana ndo angekuwa Mandela angepoteza wote
 
Back
Top Bottom