Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Lete sukari
 
Mkuu hata mimi napata hizi hisia,, wabunge wameanza kumdirect mama nini cha kufanya, wanataka afate nyayo za jiwe utadhani mama yeye hana fikra, utadhani mama hana akili yeyote, na wanawashangiliana.
Nilimsikia mbunge eti anamwonya mama. Kibajaji nae kachomoa ya kuchomoa yake anamtaka mama afate nyayo za jiwe.
Napata wasiwasi.
Mama anatakiwa kutengua na kuteua haraka sana. Asilale kwani wenzake wako fasta.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hawana heshima kwa Rais na hyo trend alianza mwigulu, Leo na mwona kibajaji anamfundisha Raisi Cha kufanya.
 
Tunafahamu ugumu wa mchakato wa kulifanikisha hili lkn mama hana nguvu maana siyo mwenyekiti wa chama. Kwahiyo anaweza kupokwa kadi ya ccm.
Apokwe na Nani? Mama ana sapoti kubwa mno,Kumbuka kundi lisilompenda mama kundi la wasukuma ambao bungeni hawafiki 30%.Na wakianza hivyo jeshi litakuwa na uhalali wa kupindua serikali na kukaa pale kwa muda watakaotaka.
 
Hao wabunge hawanana ubavu huo wakifanya hivyo bunge litavunjwa na wote wanarudi kwenye uchaguzi na ningumu kupita vile wengi walibebwa na beleko.
Siyo kubebwa na mbeleko tu, Bali kura za CCM zilijazwa kwenye "ballot boxes" baada ya kuhitimishwa shughuli za uchaguzi kwa msaada wa manjago!
 
Uko sahihi!

Kuna mtandao wa hatari wa kumhujumu mama. Wanajifanya watetezi wa Magufuli lakini wana ajenda yao nyuma ya pazia ya kuhujumu utawala wa mama.

Mama anatakiwa ashitukemapema,vinginevyo hiyo movement atashindwa kuidhibiti.
Ofisi ya mama ndio Superior Ofisi ndani ya nchi hii ina Resources na Watu wa kila aina kuanzia economists, Analysts, engineers, doctors, Lawyers tena loyal tu ambao ni vetted, Ofisi ya Rais ni very powerful indeed mpaka wewe umehisi kuna hujuma basi kama zipo tayari Taasisi itakuwa imeziona na Wata rectify on timely fashioned.

Tumuamini mama na panapohitaji ushauri Tutoe, Type ya watu kama Spika ni wakuupuzwa kwa sababu wamekuwa kama wafa maji na kawa hawajui Nguvu aliyopewa Rais na Katiba yetu hii wajaribu waone moto.

The best option kwa mama sasa ivi nikuleta watu wapya tu kuanzia cabinet, Mikoani na mpaka wilayani mana hawa bado wako half half
 
Ofisi ya mama ndio Superior Ofisi ndani ya nchi hii ina Resources na Watu wa kila aina kuanzia economists, Analysts, engineers, doctors, Lawyers tena loyal tu ambao ni vetted, Ofisi ya Rais ni very powerful indeed mpaka wewe umehisi kuna hujuma basi kama zipo tayari Taasisi itakuwa imeziona na Wata rectify on timely fashioned
Tumuamini mama na panapohitaji ushauri Tutoe, Type ya watu kama Spika ni wakuupuzwa kwa sababu wamekuwa kama wafa maji na kawa hawajui Nguvu aliyopewa Rais na Katiba yetu hii wajaribu waone moto
Unataka kusema hata akitupeleka hovyo tuvumilie?kisa ananguvu?
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Acha uongo.
Andika vitu vyenye maana na vyenye kujenga. Usizue taharuki isiyo na kichwa Wala miguu.
 
Tetesi isiiyo na tija hii. Kwa Tanzania bado sana.

Ndugai kama ana ubavu aanze kwanza mchakato wa kuvibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyompa madaraka Rais (na Mwenyekiti wa CCM) kulithibiti Bunge/Wabunge wa CCM
Huo muswada ili uwe Sheria baada ya kupitishwa na bunge lazima usainiwe na Rais. Au watamvizia akiwa usingizini amelala?
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Weka ushahidi kama anazungukwa watu humsema hata Mungu,maraisi kusemwa na kuzungukwa na wabunge mbona ni kawaida alisema Kikwete na hadi kuitwa dhaifu, amekuja mwendazake pamoja na mazuri yote aliyoyafanyia nchi hii bado mnamusema, hakuna binadamu asiye semwa na ambaye hasemi,hata wewe ni mmojawapo,kwani mama sio malaika.
 
Back
Top Bottom