Rais Sheni avunja tena sheria za kimataifa

Mgeni wa Mungu

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
1,233
1,287
Jana nilimsikiliza alipokua katika uzinduzi wa meli mpya ya Mv. Mapinduzi 2, kama kawaida baada ya kumaliza ukaguzi ulifanyika mkutano wa kujipongeza kwa kupata meli nyingine yenye hadhi ya upya kabisa.

Katika hotuba yake fupi alisema kuwa wana meli inayotumika ya mafuta inayoitwa ukombozi ambayo hairuhusiki tena kufanya kazi kwa sheria za kimataifa lakini cha ajabu Rais Sheni amesema wao wanaendelea kutumia meli hiyo. Je huu ni muendelezo wa kuvunja sheria za nchi hauna athari yoyote kwa viongozi wetu na nchi hii?

Source: Zbc
 
Meli za zamani ataziuza na hatoziruhusu kufanya kazi Zanzibar kituko sasa mtu azinunue for what kama zimepigwa ban!
 
Back
Top Bottom