Rais Shein:Hamna cha Umoja Wa Mataifa kwa serekali nayoogoza

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Matumaini ya maridhiano zanzibar na serekali ya umoja wa kitaifa.Yamezidi kudidimia baada ya Dr Shein kusema.
Hakuna cha umoja wa mataifa,Hakuna cha katibu mkuu.Hamna mtu atayeongoza serekali anayoongoza yeye.
Rais shein amesema hayo leo visiwani zanzibar.
Source:ITV habari!
 
Unafikiri umoja wa mataifa hawajui sovereign of the state, nakuambia maalim atawadanganya hao hao
 
Mankurunziza ndivyo yalivyo!

Matumaini ya maridhiano zanzibar na serekali ya umoja wa kitaifa.Yamezidi kudidimia baada ya Dr Shein kusema.
Hakuna cha umoja wa mataifa,Hakuna cha katibu mkuu.Hamna mtu atayeongoza serekali anayoongoza yeye.
Rais shein amesema hayo leo visiwani zanzibar.
 
Baada ya kilichotokea huko Zanzibar baada ya uchaguzi wa 2015 sidhani tena kama CCM watataka kuwepo kwa serikali mahuluti.
 
Naomba kujuzwa kwani Zanzibar inapewa misaada na benki ya Dunia kama kisiwa au nchi?
 
Back
Top Bottom