Rais Shein atoa nafasi kwa watoto kumuuliza maswali Ikulu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
Rais wa Zanzibar Dkt.Shein atoa nafasi kwa watoto kumuuliza maswali Ikulu ya Zanzibar.

Mtoto akimuuliza swali Rais wa Zanzibar Dkt.ALI MOHAMED SHEIN baada ya kutoa fursa kuulizwa swali lolote Ikulu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dakta ALI MOHAMED SHEIN leo amekutana na watoto Ikulu ya Zanzibar na kuwapa fursa ya kumuliza maswali Mubashara ikiwa ni miongoni mwa sherehe za siku kuu ya Eid El Fitr Kisiwani Zanzibar.

Wawakilishi hao wa watoto,NADIR MOHMAED na AHMED SAID walikaribishwa ikulu na Dakta SHEIN na kuwapa fursa ya kumuliza maswali wanayoyataka ambapo vijana hao walimuliza Rais SHEIN kuhus matatizo ya Kupindupindu na dawa za kulevya ambayo Dakta SHEIN aliyajibu kwa kueleza hatua za kupambna na dawa za kulevya na maradhi ya Kipindupindu.

Watoto hao pia walimuomba Dakta SHEIN awape ushauri wake kuhusu hatua za kuchukua watoto na harakati za siku kuu kwa watoto kutokana na kuwepo ongezeko kubwa la ajali za barabarani ambapo dr shein aliwataka watoto wawe makini na kufuata sheria na kuwasikiliza wazazi wao.

Hatua hiyo ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 kufika Ikulu na kuonana na Rais ni moja ya mwelekeo wa Serikali kuwa karibu na vijana na kuwapa fursa ya kujua na kufahamu misingi ya uongozi na utendaji wa serikali.

Chanzo: ITV
 
Nchi yangu Tanzania naipenda sana,kila siku napata mambo mapya

Yaani kosa hela ya anasa ila hakikisha hukosi bando
 
Wangemuuliza jecha kajificha wapi baada ya kupora ushindi wa CUF
 
Hao watoto huwa wametengenezwa na wamelishwa maneno!! Aje aulize bara mubashara kam hajaingia chini meza!!! Amuulize Bashiye,.......alishia kusema vita vya madawa.....sijui nini!! Chezea watoto waliofunguka???
Nchi yangu Tanzania naipenda sana,kila siku napata mambo mapya

Yaani kosa hela ya anasa ila hakikisha hukosi bando
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom