Rais Sata wa Zambia ateua Baraza la Mawaziri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Sata wa Zambia ateua Baraza la Mawaziri.

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Sep 29, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwa mara ya kwanza Africa tangu tupate uhuru mzungu ameteuliwa kuwa makam wa rais
  hiyo ni dalili tosha kuwa Rais Sata yuko serious kuibadilisha zambia na mifumo yote mibovu
  vile vile ameteua wanachama wa vyama vingine kuunda serikali jambo ambalo hapa kwetu ni ndoto ya mchana
  kitendo cha mzungu kuwa makamu wa rais kinaonyesha jinsi wenzetu walivyokomaa na walivyo na elimu kubwa ukilinganisha
  na sisi watanzania tunavyohangaika na makamu wa marais wetu wanaopenda sana vibaghashia vya bakwata kushika hiyo nafasi

  Zambia has white vice president, as Sata creates another ministry | Zambian Watchdog
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Uchaguzi ujao na sisi tutaiga tunaweka muhindi au mwarabu uchaguzi wa 2020 tutaweka mchina
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dr Guy Scott (born 1 June 1944) is a Zambian politician. He is currently the Vice President of Zambia.
  [TABLE="class: toc, width: 1"]
  [TR]
  [TD]
  [h=2]Contents[/h] [hide]​
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [h=2][edit]Personal Details[/h]Scott was born in 1944 in Livingstone. He completed his education in Southern Rhodesia (now Zimbabwe) and the United Kingdom at Cambridge University and University of Sussex where he obtained a degree in economics and a PhD in cognitive science[SUP][1][/SUP]. He is married and currently resides in Lusaka.
  [h=2][edit]Professional Achievements[/h]After graduating from Cambridge University in 1965, Scott joined the government of the Republic of Zambia where he served in the Ministry of Finance as a planner. He was also the deputy editor of the Business and Economy of East and Central Africa during this period.
  In 1970, Scott left the government to become an entrepreneur and set up Walkover Estates, an agribusiness venture, which ventured into high value crops such as irrigated wheat, strawberries, and a wide range off season vegetables. In 1978, he co-founded the Mpongwe Development Company alongside with the Commonwealth Development Corporation. He then went on to engage in lecturing and research in robotics at Oxford University during the 1980's.
  [h=2][edit]Political Career[/h]In 1990, Scott joined active politics and joined the Movement for Multi-Party Democracy (MMD) where he was elected to serve as Chair of the agriculture committee at the first convention. His participation in Zambian politics was inspired by his late father who was an ally of Zambian nationalists and a founder of anti-colonial government newspapers including the African Mail, now the Zambia Daily Mail. During the 1950's, his father was a member of the federal parliament for Lusaka, standing on an independent ticket.
  Scott was nominated as an MMD candidate for Mpika in the National Assembly during the 1991 general election. He was elected and subsequently appointed as Minister of Agriculture, Food and Fisheries. He presided over a number of policy reforms and was responsible for managing the very dangerous food situation that developed after the "drought of the century" in January and February of 1992. There was no reserve maize in Zambia and none in southern Africa, so emergency arrangements had to be made to import it from overseas and move it into Zambia on dilapidated rail and road networks. He also oversaw the drought recovery "bumper harvest" of 1992/93.
  In 1996, Scott resigned from the MMD to form the Lima Party together with Ben Kapita, the then-president of the ZNFU. He piloted the merger between the Lima Party and other parties including Dean Mungomba's ZADECO to form ZAP. However, he later left ZAP and concentrated on his agricultural consultancy company. In 2001, he joined the Patriotic Front and returned to politics. He returned to the National Assembly when he was elected as the member for Lusaka Central in the 2006 general election.


  [h=2][edit[/h]
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Naona ana uzoefu wa kutosha kuhusiana na Zambia Politics
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Naona ana uzoefu wa kutosha kuhusiana na Zambian Politics
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Huyu ni "mzungu" au mzambia?

  Amechaguliwa kwa "uzungu" wake au uzambia wake?

  Kuna watu walisema na wanasema Salim Ahmed Salim ni mwarabu!!??? Kwa hiyo ,TZ pia tulishapata kuwa na waziri mkuu, mwarabu.
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Huyu ni mzambia na wala sio mzungu, amezaliwa zambia, kakulia zambia, kasoma zambia kaanzia kazi zambia. Rangi yake nyeupe isimfanye aonekane ni mzungu huyu ni mzambia halisi kama inavyoonekana kwenye historia yake.
   
 8. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  waambie maana hapa nilipo kuna mtu kasema ''oneni sasa kawakumbuka wazungu kisa aliwahi kuwa mfagizi stesheni ya treni huko uingereza''
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  jamaa yuko vizuri na sidhani ni mzungu per see ila mzambia mweupe
   
 10. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,031
  Trophy Points: 280
  M
  you better watch what u r saying imagine RA au MD mmoja wapo awe waziri wa biashara...
   
 11. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Big Up for President Sata and VP Dr. Guy. Serious leaders think out of box and beyond. Hata Tz tulikuwa na kina Amir Jamal, Derick Bryceson. Huyu kaanzia harakati za kuleta democrasy kwenye nyumba kumi zao na ni Mzambia anastahili.
   
 12. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  ...ila sio kama RA
   
 13. s

  sawabho JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Huyu ni Mzambia wala sio Mzungu, tena sio Mzambia mwenye asili ya Uzungu bali ni Mzambia kwa kuzaliwa.
   
 14. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #14
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wabongo tumekuwa wabaguzi sana,kila kitu ni mpaka tuseme,kuna jamaa wa amechguliwa kuwa mkurugenzi utalii kama sikusei tumemsema kutokana na rangi yake
  yaani watu kama kina mwisho mwampamba wenye rangi nyeupe wasije shika madaraka nchi hii,tunasema sana pasipo kuangalia uhalisia

  SAFIIIII sana ZAMBIA acha kuiga wabongo mungu azidi kutupa upumbavu huu wa kubaguana kwa Rangi
   
 15. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kama kweli kitendo cha mzungu kupewa umakamu wa raisi katika nchi ya kiafrika ni tatizo basi ungemlaumu Sata kwa kuwa na akili ya kikoloni.Lakini badala yake kutokana na mgando wa chuki za kidini katika akili yako unalaumu kuchaguliwa dkt Shein na Mohammed Gharib Bilal kuwa makamo wa raisi Tanzania.Umesahau kuwa wakatoliki kama Sata waliwahi kushika nafasi hii na haikuwa lolote la maana mbali na njaa kali.
   
 16. m

  mhondo JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kwani ni sifa zipi zinamfanya mtu aitwe Mzungu au Mwafrika (mtu mweusi)?. Je mtu mwenye ngozi nyeusi aliyezaliwa Ulaya unaweza kumuita Mzungu?. Tafsiri ya neno mzungu ndiyo inaweza kusaidia kujua kama huyo mtu ni Mzungu au siyo.
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  na hata ukifuatilia maoni ya wazambia katika mitandao wanampongeza kwa kitendo cha kumchagua DrGuy L Scott MP,kwani anaonekana ni mpiganaji na ni mchapakazi tofauti na wabongo tufikiliavyo,tunafikilia ktk upande wa ubaguzi tu

  [​IMG]

  angalia maoni ya wazambia

  1.still behind with petty issues rather than talk issues..let the guyz work….period…viva ba Sata…congrats Scott… its a workable team..no doubt
  2.
  • That is a cabinet! watch this space, there are suprises in it as well. I thought kambwili would deal the labour issues especially …..who give Zambians slaverly working conditions. Keith mukata, good choice the guy is good, then we have GBM. hell. This one is a wrong choice. with his record of wife battery i fear that we women shall have no defence. He should have been left out of cabinet. Ba winter Kabimba can remain as chief organiser of the party, which is a full time job.
   Now we can start counting down to 90 Days!!!!!!


   carol lingashe - September 29, 2011
   2:10 pm


   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  thanks mkuu... Ni bora huyo kulikovasco
   
 19. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red: Una uhak ikka gani kuwa zambia na mifumo yake mibovu itabadilika?? Au kwa vile tu makamu wa rais ni mzungu?? Let us wait and see before judging. Siyo kila mzungu ni kiongozi mmzuri. But all the same, I congratulate Sata, especially for including those from opposition parties
   
 20. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,334
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Je mtu mweusi anaweza kuwa makamu wa rais au rais usa au wazir mkuu uk,kwa vile tu amezaliwa huko?don't tell me about obama(half cast)mi naungana na bob mugabe kwamba africa ni bara la mtu mweusi hao jamaa wana kwao.kwetu ni kwao kwa nini?(kandoro saadan)
   
Loading...