Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

Waziri ambaye anavunja katiba aliyoapa kuilinda inakuwaje bado yupo kwenye nafasi yake?

Swali zuri zaidi ni mamlaka ya waziri kufuta tozo na Bunge lililoipitisha likiwa kimya, maana yake nini?? Inachukua muda gani na nini kujua kuwa TRA ambaye ni mkusanyaji anaacha kukusanya sh.100 kwa maelekezo ya Waziri wa Nishati badala ya Waziri wa Fedha!!!??

Ombwe. Katiba Mbovu. Madaraka Makubwa.
 
Back
Top Bottom