Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

Mheshimiwa Rais rejea yafuatayo:
1. Bei ya mafuta ya kula, diseli na petrol.
2. Uminywaji wa uhuru wa vyama vya siasa
3. Ubambikiaji kesi kwa viongozi wa kisiasa hasa mtoto wa ubatizo wa Mwl. Nyerere
4. Mtaani timu za siasa 2025
a.Timu JRM
b.Timu SJ
c.Timu MLN.
d. Timu SG (hii imeanza kusambaratika japo kura zao nyingi)
1. Mafuta imepanda kutokana na kupanda kwa bei duniani, ata wakitoa sh 100 itabaki sh2300, ata mwaka 2018 bei ilipanda kutokana na kupanda bei duniani
Screenshot_20210803-204410_YouTube.jpg

2.Mambo ya siasa ndio amefeli kabisa angetumia approach yake kama samia na sio approach ya Magufuli

Anasumbuliwa na kivuli cha Magufuli, na changamoto anayopata akitumia approach ya Magufuli anakwama maana sio mawazo yake hivyo ataomba ushauri kwa watu waliomshauri Magufuli na watampoteza

Anatakiwa aamke na asipoamka basi AJILAUMU MWENYEWE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom