Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Madaraka matamu bwashee! Ndiyo maana wakina Museveni na Kagame wameona bora wafie tu Ikulu.
 
Nakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.

Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.
Watu waneanza kujigamba bila kazi YEYOTE wanamalizia kazi walizoachiwa na wenzao halafu wanajisifu mfano january alikuwa ana mhujumu raisi leo kaobekana mzuri hivi kwel hata muhujumu tena?
 
Nakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.

Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.
Laana ya kushangilia kifo cha JPM kitawamaliza sisi tunamuunga mkono tu

USSR
 
Tangu 1992 unasema hayahaya

USSR
Mkuu uwe unauliza kwanza kabla ya kujifanya unamfahamu mtu..

Mimi huo mwaka nilikuwa bado sijaletwa hata kwenye hii dunia yenu ya kina chief HANGAYA.

Bora hata ningezaliwa Uswiz huko kuliko kwenye nchi masikin hizi zilijaa viongozi wachumia tumbo na walafi wa madaraka.
 
Nakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.

Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.
Wengine wakitia nia wanafukuzwa. Huyu ndiye rais wa kwanza toka kuumbwa kwa nchi hii kutangaza kugombea akiwa hajamaliza hata mwaka uongozini
FB_IMG_16318519930142315.jpeg
 
Nakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.

Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.

Amenogewa. Madaraka Matamu:

Tupiganie Katiba Mpya: Madaraka Matamu Wachonga Mzinga ni kama Wote

Pana haja ya kupanua wigo kumsimamisha mtu huyu.

Kwani chakubanga naye anasema je?
 
Kwani yule bedui alivyotaka urais wa milele alijua Mungu ni mjomba wake, acheni gubu nyie wapumbavu.
 
Mlikuwa mnacopy mikutano ya Lowasa ya mwaka 2015. Kawadanganye wasiojitambua. Upinzani nchi hii hakuna. CCM itaongoza nchi had I 2050.
Kwa,nini mikitano yake ilikuwa inavamiwa na polisi na wakati mwingine mawasiliano yanakatwa baada ya kuona nyomi ya watu. Amefanyiwa kila figisu lakini bado watu wanajaa bila hatamatangazo tofauti na jpm ambapo vyombo vyote vilitangaza popote alipo. Hata ushindi wake unafikiri ilikuwa rahisi kuutangaza!!
 
Ukiona unaota ndoto za mchana kila wakati ujue karibu utakuwa chizi.
Hata Magu mwenyewe aliliona mapema kwamba hatobowi asingefanya alie fanya asinge kua Raisi tena, wa tzania anataka mabadiliko ya kisiasa ole wake huyu Mtemi hangayi akijisahau kufanya yake hata tomboa, haijalishi ni Lissu au Mbowe, wataznia walishaelimika kwa sasa
 
Mbowe si wa kuongoza nchi hii. Labda nchi ya KUFIKIRIKA
Hangaya Fanya mipango labda Mbowe Umsweke ndani daima..ila kama atashinda mapema tu mwaka huu wali utajuta kufika hio2025 pia wanawake wenyewe hawakukubali huku mtaani wewe uwe Rais labda hao kina JOKATE wanaotaka ulaji tu.
 
Back
Top Bottom