Watu waneanza kujigamba bila kazi YEYOTE wanamalizia kazi walizoachiwa na wenzao halafu wanajisifu mfano january alikuwa ana mhujumu raisi leo kaobekana mzuri hivi kwel hata muhujumu tena?Nakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.
Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.
tumepigwa parefu wakikaa kikundi chao kile wanashauriana wapi waongeze tozo ambako bado.angefanya kazi kwanza ili watu wampime kama anafaa au hafai ila kiukweli tumepigwa
Wengine wakifanya hivyo pia asiaanze kuwakamata. Maana mijadala ya twitter tu washaanza kuona inawasumbuaMadaraka matamu bwashee! Ndiyo maana wakina Museveni na Kagame wameona bora wafie tu Ikulu.
Laana ya kushangilia kifo cha JPM kitawamaliza sisi tunamuunga mkono tuNakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.
Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.
Tangu 1992 unasema hayahayaWanawake Wana akili finyu Sana..
Ngoja 2025 tutawanyoshaa....
Mkuu uwe unauliza kwanza kabla ya kujifanya unamfahamu mtu..Tangu 1992 unasema hayahaya
USSR
Wengine wakitia nia wanafukuzwa. Huyu ndiye rais wa kwanza toka kuumbwa kwa nchi hii kutangaza kugombea akiwa hajamaliza hata mwaka uongoziniNakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.
Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.
Kwamba kudra za Muumba ndio zimetupiga? Maana yeye ndio kaingilia hukuangefanya kazi kwanza ili watu wampime kama anafaa au hafai ila kiukweli tumepigwa
Nakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.
Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.
Daah huo ndiyo ukweli....ila huyu nae kazidiWanawake Wana akili finyu Sana..
Ngoja 2025 tutawanyoshaa....
Kazi anayo - tena pevu!Chief Hangaya anawapa matumbo joto tu wapinzani wake, kwa hii miezi mingapi tu unamuona kabisa hadi nuru yake aliyokuwa nayo awali ishaanza kupotea.
Pole kwa kazi MAMA.
Mitano tena.
Kwa,nini mikitano yake ilikuwa inavamiwa na polisi na wakati mwingine mawasiliano yanakatwa baada ya kuona nyomi ya watu. Amefanyiwa kila figisu lakini bado watu wanajaa bila hatamatangazo tofauti na jpm ambapo vyombo vyote vilitangaza popote alipo. Hata ushindi wake unafikiri ilikuwa rahisi kuutangaza!!
Hata Magu mwenyewe aliliona mapema kwamba hatobowi asingefanya alie fanya asinge kua Raisi tena, wa tzania anataka mabadiliko ya kisiasa ole wake huyu Mtemi hangayi akijisahau kufanya yake hata tomboa, haijalishi ni Lissu au Mbowe, wataznia walishaelimika kwa sasa
Hangaya Fanya mipango labda Mbowe Umsweke ndani daima..ila kama atashinda mapema tu mwaka huu wali utajuta kufika hio2025 pia wanawake wenyewe hawakukubali huku mtaani wewe uwe Rais labda hao kina JOKATE wanaotaka ulaji tu.