Rais Samia: Walichukulia ukimya na utulivu wangu Kama udhaifu

Ni zaidi ya dhaifu ndugu, yeye amewahi kuwa waziri na hakujua wizara zinavyofanya kazi? akawa makamu wa Rais Bado hakujua wizara zinavyofanya kazi? hadi hapo amekuwa Rais hajui chochote na baada ya miezi sita...
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Miluzi mingi humpoteza mbwa....

Mh.Rais Chifu Mkuu Hangaya kipenzi cha watanzania walio wengi anasema kuwa katika uongozi kuna styles mbili:-

1)Carrot

2)Stick

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aamen🙏

#NchiKwanza
 
Hata hapa JF kuna watu wanachukulia upole na ukimya wake kama udhaifu na kusahau kabisa SSH ndio NAMBA MOJA na AMIRI JESHI MKUU

Tukiweza kutoa ushauri wetu bila kumdharau na bila kutumia huo ushauri kujikweza juu ya mamlaka ya Rais tutaweza kumsaidia Rais sana...
😍👍💪
 
Kiongozi mkubwa wa juu kuongea kauli hizi za kulialia ili ahurumiwe ni HATARI kwa mustakabali wa Taifa#mypoorTanzania#
Halii....

Anatumia busara KUWARUDISHA MSTARINI....

Rais ni mwema haswaa....

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Ila mheshimiwa Raisi bado hujaleta/hujafanya cha maana[Iconic] mpaka sasa...[Creative fought living structures],[ unatembelea kwenye feet steps za JPM.

NINI CHA KUFANYA: Jaribu kutengeneza legacy yako kama alama kwa uzao wako kwa issue ya "Katiba mpya"....(or any other creative fought living structure(s)),...,maana unaweza usiendelee 2025.

ICONIC LIVING STRUCTURE ZA WENZIO...

NYERERE(RIP)....,Amani+Utulivu

MKAPA(RIP)....Shule za kata...,....

KIKWETE...Road Network&Real democracy

MAGUFULI...(,SGR,Kuhamia Dodoma,Bwawa la nyere...,...,)

Mh. Rais Sami.....,NULL.just normal routines.
Katiba mpya ndo ya muhimu kwa sasa, hii teua tengua ni kupeana tu ugali kwa minajili ya kujuana kuelekea 2025....
 
🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬
Sipendi na nachukia hasa na kujihisi udhalili mno,
Rais anapohusisha jinsi yake na Mamlaka yake.
Kwanini anatanguliza sana
" Maumbile "
"Udhaifu"
"Uanamke"
Kwa kweli I hate it.
Kabisa.
Sijui kwanini lazima ABEBE BANGO KUHUSU UANAMKE WAKE.

UNAHUSIANA NINI NA MAMLAKA ALIYONAYO KIKATIBA?
Hakuwa Rais kwa kuwa ni Mwanamke.
Yeye si Amri Jeshi Mkuu kwa kuwa Ana Maumbile aliyonayo.

Kwanini lakini lazima hii kauli ?
Kuna mwingine anajiskia ninavyojiskia?.
 
Yaani nipo pamoja nawe snowhite .. Nakuelewa kabisa na ananikwaza sana na hizi kauli zake.
 
Mama piga kazi, ila mtoe Mbowe gerezani tuungane na wewe katika kuijenga nchi, hatuwezi kujenga nchi wakati watu wamegawanyika, wamehasimiana, hawaongei pamoja na wamevurugana. Taifa linajengwa watu wakiwa wamoja, visasi havina afya kwa taifa.Upande unaoteswa na kunyanyaswa katika nchi yao jua Hawana pakukimbilia kitakachofuata ni uasi wa raia kwa mamlaka na hayo mnayo yapigia ramli ya kuchoma vituo vya mafuta,kuua viongozi wa serikali huenda yakawa Ni sehemu ya maisha yetu.

Mama wewe ni muislam iliyetimilika jua usipotenda haki kwa raia uliopewa kuwaongoza yupo aliyekupa hayo mamlaka atakuuliza juu ya dhamana hii uliyonayo. Mbowe anakuwa mbuzi wa kafara,Nani kesho atafuata baada ya mbowe? Bado hatujasahau tukio la Mwanaccm HAMZA.

Mlianza kuingia madarakani kwa kupigiwa kura.
Mlifuata kuingia madarakani kwa kuiba kura.
Mkaendelea kuingia madarakani kwa viongozi kufariki vifo tata.
Kesho hatujui wenzenu wataingia madarakani kwa njia ipi halali na haramu.

Mama ionyeshe dunia kwa kutenda haki.
 
Mama sio tu dhaifu bali hajui chochote licha ya kujinasibu kuwa ni mjanja akiongea , mfano yeye kama Rais anataka wizara ya nishati ifanye nini anachotaka? alichokiongea Ndugai kuhusu wizara ya nishati ndicho Mama yenu mpendwa Samia alitakiwa aongee, atoe taarifa jinsi ilivyofanya kazi mbovu Kwa kipindi Cha miezi sita iliyopita na kutaka wafanye hivi kuanzia leo ili waendane na matakwa yake na matakwa ya wananchi, pili kukamilishs miradi ikiyopo Kwa kasi, kufufua mazungumzo ya gas, mchuchuma, na kutatua keto za umeme Tanzania, mafuta kupanda na kadhalika, sasa Samia ni mweupe hajui chochote atawezaje kumwambia waziri nataka hivi? hata kuongea na kuelezea wizara moja Kwa ufanisi hawezi he tutarajie nini katika mabadiko yake? Jibu ni zero output.
 
Huyu ni kiongozi wa taifa; siri gani tusizotakiwa kuzijua tunaoongozwa?!

Au ndio kama hizo za mikataba ya bandari ya Bagamoyo?!
Kwa ufupi ujumbe ni wa JPM kuhusu tabia zake za kuropoka siri za watu hadharani. Hayati alikuwa na ujinga huo.

Mama kasema atafukuza watu pasipo kuziweka hadharani siri za watu, hana pride iliyopitiliza kiasi cha kuwafanya wateule wake wajione wadogo mbele yake kama enzi za Magufuli.
 
Inaudhi sana hii mijitu

Mama sio tu dhaifu bali hajui chochote licha ya kujinasibu kuwa ni mjanja akiongea , mfano yeye kama Rais anataka wizara ya nishati ifanye nini anachotaka? alichokiongea Ndugai kuhusu wizara ya nishati ndicho Mama yenu mpendwa Samia alitakiwa aongee, atoe taarifa jinsi ilivyofanya kazi mbovu Kwa kipindi Cha miezi sita iliyopita na kutaka wafanye hivi kuanzia leo ili waendane na matakwa yake na matakwa ya wananchi, pili kukamilishs miradi ikiyopo Kwa kasi, kufufua mazungumzo ya gas, mchuchuma, na kutatua keto za umeme Tanzania, mafuta kupanda na kadhalika, sasa Samia ni mweupe hajui chochote atawezaje kumwambia waziri nataka hivi? hata kuongea na kuelezea wizara moja Kwa ufanisi hawezi he tutarajie nini katika mabadiko yake? Jibu ni zero output.
Ila ni kweli hawezi kuelezea deep wizara hata moja nyeti yaani mweupe!
 
Of course ni dhaifu na hichi sio kigezo chochote cha kumfanya hasiwe dhaifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom