Rais Samia: Walichukulia ukimya na utulivu wangu Kama udhaifu

“Katika kipindi cha miezi sita cha urais wangu nilijaribu kuwa mkimya na kusoma wizara zote katika kipindi hicho nao walikuwa wakinisoma pia na kati yao wakachukulia ukimya na utulivu wangu kama udhaifu na wengine waliuchukulia kama njia ya kuonyesha uwezo wao,”

HAKUNA asiye dhaifu hatujakamilika na baba anayependa kujionyesha kwa watoto kila leo kwamba yeye ndio baba na sio dhaifu ujue Kuna udhaifu hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom