Rais Samia: Vijana niko nanyi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
Rais Samia Suluhu Hassan amesema zaidi ya 60% ya walioko Tanzania ni vijana hivyo wanahakikishwa kufanya wanapata mkate wao wa kila siku

Amewataka watu wa Halmashauri kutoa mikopo mikubwa kwa vikundi vichache ili vijana waweze kufanya miradi yao

Aidha amesema watajenga vyuo vya ufundi(VETA) na kuongeza hela za vijana kusoma elimu za juu
 
Blah blah blah! Tangaza sera za kitaifa za kuleta ajira kwa Vijaya. Vinginevyo ni siasa tu as usual.
 
Mama maneno mengi vitendo hamna
Ameshatenda mangapi in just six months we sakala?

Ni ya kutosha… international relations, Covid war, disbursement of serious funds for health and education

I congratulate her
 
Kikubwa awekeze vijijini kwenye elimu na maendeleo ya vijijini hao vijana watapata kazi za kutosha.
 
WATANZANIA WENGI WANA MANENO MENGI SANA LAKINI UTENDAJI SIFURI, WANAHITAJI KUWA NA RAIS DIKTETA MWENYE AKILI SIO KAMA YULEE ILI WAWEZE KUZINDUKA
Hapana kiongozi dikteta hafai inabidi tupate kiongozi mkweli na anayetimiza ahadi
 
Back
Top Bottom