Rais Samia, usikubali hasira dhidi ya Hayati Dkt. Magufuli zihamishiwe kwako!

Rais wa Jamuhuri anakasirikiwa ? Kasirikeni tu halafu na yeye akasirike 🐒
 
Kura zenu ndo zomemfikisha hapo alipofika,haruhisiwi kukasirika.
Kura za nani ? Rejea hapa👇
 
Hao wana mahusiano gani na JPM. Are you serious. Tumia akili Basi hata ya . Kama unamwita mtu Diktator. Je huyu Lissu nzima au. Je mbowe. Je Zitto. Au we unaelewaje Kuhusu dictator tena awe wa kiafrika. Acha Hadithi zako za kujitungia na kujijibu. Ben saa nane Ni Nani na alifanya Nini kumfanye JPM adeal naye Personally. Azory naye Ni Nani. Si yule alieyepotea wakati wa mauaji ya Kibiti ambako humu mlikuwa mnashangilia. Unaposhutumu Rais. Mwenye madaraka na vyombo vya jeshi. Makomandoo nk. Usilete ujinga huo. Huwezi moja kujificha. Na Mbili huwezi hata kupata muda wa kusema natishiwa. Why wakutishie. Si utasema. So Kama kasema. Ujue mtafute wa kumwuuliza mana Ni staged kwa manufaa ya watu fulani. So start searching.
Amini au Mobutu waliua watu kwa mikono yao wenyewe ?!
 
Hata mimi nimeanza kuumia kwa baadhi ya mambo yanavyoenda. Niliamini tumepata relief na kufungua ukurasa mpya (ndiyo maana nikajibrand kama New Page). Mambo yanavyoenda kwa kweli hamna chema ambacho umekifanya sasa.

Juzi niliongelea nyongeza ya mishahara na kweli imeongezwa pungufu ya elfu tatu. Hili ni umivu kubwa kwa wafanyakazi. Kuna mengi umeacha yafanyike hovyo hovyo kwa vile yalianzishwa na JPM na wewe umeshindwa kuyatupilia mbali.

Huwezi kufanya ya JPM na wewe ukafanya ya kukupa chati wewe binafsi ili kujiimarisha kwa siku za usoni! Utakwama tu!

Kwa sasa wananchi wote wanaanza kukusema vibaya - na kwako wewe itakuwa mbaya Zaidi kwa sababu watu wanakuwa wamechokea kwako! Walifikiri wamepata relief lakini kumbe mambo ni hovyo tu - hebu achana na UJPM wewe ni Samia. Usiwe JPM ndani ya Samia.

Hasira zinazojengeka kwa jamii yetu ni kubwa na mbaya zaidi na itakuwa ni kuliko wakati wa JPM. Tafadhali chukua hatua - jisimamie wewe achana na UJPM ndani mwako!
JPM tayari ametangulia mbele ya haki tumuacha apumzike salaama kwani aliyoyafanya duniani hasa akiwa Mkuu wa Kaya hatutaki kuyakumbuka.mama SAMIA yupo vizuri kazi kubwa na njema aliyofanya itakamilika ,ana siku chache madarakani hivyo tumpe muda.
 
Hata mimi nimeanza kuumia kwa baadhi ya mambo yanavyoenda. Niliamini tumepata relief na kufungua ukurasa mpya (ndiyo maana nikajibrand kama New Page). Mambo yanavyoenda kwa kweli hamna chema ambacho umekifanya sasa.

Juzi niliongelea nyongeza ya mishahara na kweli imeongezwa pungufu ya elfu tatu. Hili ni umivu kubwa kwa wafanyakazi. Kuna mengi umeacha yafanyike hovyo hovyo kwa vile yalianzishwa na JPM na wewe umeshindwa kuyatupilia mbali.

Huwezi kufanya ya JPM na wewe ukafanya ya kukupa chati wewe binafsi ili kujiimarisha kwa siku za usoni! Utakwama tu!

Kwa sasa wananchi wote wanaanza kukusema vibaya - na kwako wewe itakuwa mbaya Zaidi kwa sababu watu wanakuwa wamechokea kwako! Walifikiri wamepata relief lakini kumbe mambo ni hovyo tu - hebu achana na UJPM wewe ni Samia. Usiwe JPM ndani ya Samia.

Hasira zinazojengeka kwa jamii yetu ni kubwa na mbaya zaidi na itakuwa ni kuliko wakati wa JPM. Tafadhali chukua hatua - jisimamie wewe achana na UJPM ndani mwako!
MSHAURI PIA ASIRITHI CHUKI ZA MAGUFULI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Watu kina nani? Mbona unawasemea watu ambao hata huwajui? Shida ya chadema mnazani nyie mkiongea ndo saut ya watz..ebu pambaneni kumtoa gaid wenu selo mazeee...nyie ni kikundi kidogo sana hapa bongo..
 
Tunaomba kesi hii isikilizwe kwa uhuru ushaidi wote uwekwe hadharani mashahidi pia wote wa pande zote wawepo pia endapo kama **** sauti zao labda pengine wakati mjama ovu zikipangwa endapo zipo pia ziwekwe hadharani ili watanzamia tuone namna gani kesi hii au shauri hili litafanyiwa kazi kwa HAKI
 
Back
Top Bottom