Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,485
108,650
Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.

Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.

Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.

Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.

Najua huwezi Kuniangusha Mama.

Cc: adriz
 
Acha hizo wewe watanzania wapo wengi wenye ujuzi kumzidi hata mabeye sema mitanzani elimu yenu ina mashaka Sana.

Hata jpm mlimsifia Sana Tena mpaka bungeni sisi wenye akiri tukawa tibaona tunaongozwa na boys, mshamba na asiyekuwa na sifa ya uongozi hata chembe. Ajaja Samia kumproove wrong kwamba nchi haipaswi kuongozwa vile.

Magufuli angeendelea tayari angekuwa ameshatengeneza ugaidi ndani ya nchi. Samia kaleta harmonization na tunaona nchi ipo shwari kabisa.

Mlifikia hatua ya kusema jpm aongezewe mda wa urais na yeye alivybogus akalishilia Hilo Tena kwa kujigamba kwamba hakuna Kama yeye. Sisi wenye tukawa tunamchora tu.

Ndugu Kuna watu wengi wenye akiri na mbunu nyingi sema ufinyu wako wa akiri unahisi na mabeyo tu Kama nilivyokuwa mnasema na kutaka katiba ibadilishwe jpm aongoze milele na yeye mwenyewe alikuwa hajijui Kama ni bogus kiasi gani
 
Maelezo marefu yenye 'Pumba' tupu halafu Kuandika vyema kwa Lugha yetu ( Mama ) ya Kiswahili neno 'Akili' huwezi ( umeshindwa ) na umeandika 'akiri' je, uwezo wa Kushindana nami kujenga Hoja utakuwa nao Kweli? Mpuuzi Mmoja Wewe hebu nitokee hapa sawa?
 
Kabla ya Mabeyo alikuwepo Davis Mwamunyange na kabla ya Mwamunyange alikuwepo Robert Mboma....baada ya Mabeyo yupo mwingine atakuja tu..

Hakuna binadamu special duniani, kila binadamu anareplacemeny yake kwenye kazi, wakati wakupumzika au kustaafu ukifika mhusika aende na wengine wakae...
 
Akistaafu huyo Rwanda inachukua Hatamu.
 
Back
Top Bottom