Rais Samia usifungue milango ya uchawi: Uchifu ni mamlaka za shetani

Mkuu acha kutoa tuhuma ambazo huwezi kuzidhibitisha.
Soma uelewe kazi za hao machifu.
Kila kitu kipo wazi.
Dini za wazungu ndo zinakupumbaza kuona utamaduni wetu haufai.
Una tatizo katika mtazamo wako.
Pia Afrika viongozi walikuwepo kabla ya ukolon.
Soma historia ya mtwa Mkwawa alivyopambana kupinga ukoloni.
 
Mama muachie Mbowe maisha yaende ulidanganywa, wachaga hatudanganyiki kwa kujikosea kwenye machief wasiotambulika kutafuta huruma ya wachaga. Hio mikoa mingine Hakuna machief hadi uje uchagani.
 
Ukisikia mtu anaitwa Chief au mzee huyu ni mtu Mkubwa Sana uchawini huko level yake ni sawa na RPC, RC.
Chief ni kiongozi mkuu wa wachawi anaetawala eneo fulani au kabila fulani.
Wazee ni kundi la wachawi ngunguli wabobezi hawa ndio utoa hukumu nani auwawe pale wachawi wanapoleta mashtaka yao kwenye kamati.
Chunga Sana usicheze na hizi namba mbili ni hatari kwenye ulimwengu wa ndumba.
Huwezi washinda hawa kama huna Mungu, muhimu usitafute nao vita kama power yako ni ndogo, bora wakuone mweupe Ili uwe salama.
 



MY TAKE
Nimeikuta mahala hii kuna watu wanashabikia openly! na tayari utaifa unaanza kumong'onyoka na ukiangalia vizuri Usultani utarudi kule Zanzibar. Mungu atuepushe na yanayokuja..
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom