Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,315
- 45,624
Hapana..! Kuchanganya ndio njia bora. Hao watendaji wa serikali unaowasema wawepo, na hao wa mtaani pia wawepo, wa private sector wawepo, wa vyama pinzani wawepo, wa jumuiya na asasi za kiraia pia wawepo, nk. Hapo ndipo tutajenga taifa lenye umoja na mshikamano..
Utaratibu wa kuokoteza watumishi nje ya utumishi usitishwe ili kurejesha hadhi ya utumishi wa umma
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi. Kipindi cha miaka mitano iliyopita tumeona tabia hii ya kusifia kila kitu ikikomaa na kufikia kiwango cha...
www.jamiiforums.com