Rais Samia unajua kuwa Waziri wako Mmoja Dada yake ana Kampuni ya Kuuza Majenereta Morocco ya Airtel?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Halafu Rais Samia Mwanao MINOCYCLINE jana nilikutana na Injinia Mmoja mkubwa sana wa TANESCO ( namhifadhi ) ambapo baada ya Kumuuliza kwani nchi ( hasa Mkoa wa Dar es Salaam ) kuna Mgawo wa Umeme unaokera yafuatayo ndiyo yalikuwa Majibu yake......

"Tumechunguza kote na wala hatujaona na hatuoni sababu ya Umeme Kukatika na kuwa na Mgawo ila Sisi tunachoambiwa tu na Wakubwa wetu kuwa tukate Umeme hivyo hatuna jinsi"

Mheshimiwa Rais Mimi Mwanao MINOCYCLINE ni Mtu wa Kawaida mno ila ni Mzalendo wa kweli kwa Taifa langu hivyo nakuomba Waagize Watu wako wa TISS ( japo najua wanajua ) wakuletee Taarifa Kamili ila Boss wa hiyo Kampuni ya Kuuza Majenereta na sasa Wanauza sana tu Dada yake Waziri wako Mmoja ( anayetamani kuwa na Cheo kama chako 2030 au 2035 ) ambaye zamani alikuwa Kampuni Kubwa tu ya Mawasiliano Tanzania.

Ukishamjua tafadhali Mtumbue Oky?
 
Huku kwenye siasa utafanya vizuri!

Note: Anajua kila kitu ila mambo ya 10%, wanamtandao, shukran nk ndo vinakwamisha maamuzi sahihi kuchukuliwa.

At least mashinikizo km haya yatasaidia
 
M dada yake na J.
Ila mbona kama wanasema ni ya J mwenyewe?!
Kazi yangu Kuu ni Kumtaarifu Mheshimiwa Rais wenu yale ambayo ama hayajui kabisa au anafichwa na Watu wake wa Makao Makuu ya Oysterbay wenye Dhamana ya kujua kila Kinachoendelea ndani na nje ya Tanzania.
 
Huyu Jamaa nahisi Kawabebesheni wengi sana hapa Mimba zake kwani hamuachi na hamchoki Kumtajataja pamoja na kwamba sasa yuko Korokoroni.
Aiiii aiii aiiiii yolololooo lolooooo. Hivyo ndo mke wako alivyokuwa analia nilipomfikisha kileleni. And i planted plenty of seeds on her fertile womb.
 
Mwaa mmh vita hii kweli tutawezana?
Ukiona MINOCYCLINE nakuja na News Bin News hapa jua zamani sana tu nimeshajiridhisha nayo na ndiyo maana hata Signature yangu inasadifu nilivyo kwa kusema Mimi ni 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Changer and Well Informed Person' sawa?
 
Kwani huyo Dada huwa anajificha? Mbona anajipost kila wakati na kujisifu kimafumbo kakamata uchumi? Kwamba mafumbo ya kitoto kama yale Mama kaahindwa kiyafumbua? Basi kazi ipo kumbe!!
 
Back
Top Bottom