Rais Samia umetuchanganya, uchumi umekua tena lini?

Leo wakati wa kupokea ndege mpya, mama Samia amesema pia wamenunua ndege nyingine ya mizigo kutokana na kukua kwa uchumi.

Ikumbukwe siku chache nyuma Mama Samia alisema kuwa uchumi umeshuka sana kutokana na janga la corona.Viongozi wakapiga makofi...
Huyo anaongea kma yule kichaa aliesemwa na dialo,yuko hapo kwa hisani ya mwendazake
 
Mama anaweza
Hii nchi inaendeshwa kihuni sana siku hizi,, utafikiri viongozi hawakusoma hata hisabati ya Shule ya msingi.

"Utasikia mradi wa SGR umefikia 88% kutoka 90+% za nyuma ake"

Ujinga ni hatari sana kwa taifa hili.
Mama anaweza MTU mmoja toka chadema alisikika akipayuka payuka
 
Mama anaweza
Hii nchi inaendeshwa kihuni sana siku hizi,, utafikiri viongozi hawakusoma hata hisabati ya Shule ya msingi.

"Utasikia mradi wa SGR umefikia 88% kutoka 90+% za nyuma ake"

Ujinga ni hatari sana kwa taifa hili.
Mama anaweza MTU mmoja toka chadema alisikika akipayuka payuka
 
Mama anaweza
Hii nchi inaendeshwa kihuni sana siku hizi,, utafikiri viongozi hawakusoma hata hisabati ya Shule ya msingi.

"Utasikia mradi wa SGR umefikia 88% kutoka 90+% za nyuma ake"

Ujinga ni hatari sana kwa taifa hili.
Mama anaweza MTU mmoja toka chadema alisikika akipayuka payuka
 
Leo wakati wa kupokea ndege mpya, mama Samia amesema pia wamenunua ndege nyingine ya mizigo kutokana na kukua kwa uchumi.

Ikumbukwe siku chache nyuma Mama Samia alisema kuwa uchumi umeshuka sana kutokana na janga la corona.Viongozi wakapiga makofi...
Anayemuelewa huyu mama ninaomba anieleweshe,Mimi ninaona kama simuelewi
 
Leo wakati wa kupokea ndege mpya, mama Samia amesema pia wamenunua ndege nyingine ya mizigo kutokana na kukua kwa uchumi.

Ikumbukwe siku chache nyuma Mama Samia alisema kuwa uchumi umeshuka sana kutokana na janga la corona.Viongozi wakapiga makofi...
Tunaongozwa na watu wenye upeo mdogo sana.
 
Back
Top Bottom