Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Mambo yamebadilika, mnataka haki sawa
Haki sawa itaumiza wanawake zaidi kuliko wanaume...ni wanawake wachache tena wasomi na wenye uwezo ndio wanaweza kufaidi haki sawa.

Haki sawa means mwanaume naye anapunguziwa uwajibikaji katika familia so called ndoa nyingi zitakufa sio kawaida.

Mfano mzuri South Africa hali ni mbaya
 
Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.

Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Yuko sahihi kabisa.

Mh.Rais anavunjavunja MAKUNDI KOKO ya kisiasa ndani ya CHAMA.

Haya tufanye kazi....mh.Samia yuko Sana.....Sana tu.....💪

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA amen🙏

#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Kwa ninavyowajua wanawake anaamini kabisa kwamba watampa kura kisa ni mwanamke mwenzao, yeye angejikita tu kukamilisha awamu yake ya tano aliyoianza na hayati apishe wenye uwezo maana bila ngekewa urais angebaki kuuota ndotoni....
 
Kubwa sana, uwezo wa Chief unatia mashaka. Ana wasi wasi sana wa kudharauliwa, inaonekana Jiwe alikuwa anamdharau sana Chief.

Hakuna mwanaume hua anamuheshimu kiongozi mwanamke hua tunakaa kimya tu huo ndio ukweli, mwanaume kumpigia magote mwanamke uliona wapi wewe hilo
 
Hakuna mwanaume hua anamuheshimu kiongozi mwanamke hua tunakaa kimya tu huo ndio ukweli, mwanaume kumpigia magote mwanamke uliona wapi wewe hilo
Kupiga magoti hata mwanamke hapigi magoti, na sidhani kama hiyo ni hoja. Hoja ni kumheshimu au kumdharau, mbona wanaume wengi tu wanamheshimu Chief nikiwemo mimi, ila kwa huu wasi wasi wake wa kuwa anadharauliwa, naweza hisi kabisa Jiwe alimdharau sana kumuondolea uwezo wa kujiamini.
 
Looo, yaani leo mmeanza kulikumbuka jiwe!!!, lilipokuwepo mlililaani kwamba halifai.
Unafiki ni janga jiwe walivo kuwa hawampendi eti Leo kawa mzuri, nilichojifunza duniani huwezi kufuraisha wote bora tu uwe katili ka jiwe, pia Kuna watu huwa pinga pinga sana
 
Ni kama naliona hivi anguko la CCM 2025. Thnx mother we endelea tu kuyavuruga mambo ili chadema wapate ya kusema 2025.
 
Jana Hangaya alikuwa kwenye kikao na mashosti wenzie ni kama kikao tu cha saloon, usitegemee waongee mambo ya kiume zaidi ya feminism.
 
Unafiki ni janga jiwe walivo kuwa hawampendi eti Leo kawa mzuri, nilichojifunza duniani huwezi kufuraisha wote bora tu uwe katili ka jiwe, pia Kuna watu huwa pinga pinga sana
Sasa kama wewe binafsi unasema Jiwe alikuwa katili, unaweza kudhani watu wote watampenda mtu katili na dhalili? Unajichanganya kwenye statement yako.
 
Kama hafai na kwa sababu katiba iliyopo haitoi nafasi ya kumwajibisha basi ni bora endelee tu kufanya makosa hayo ya wazi wazi ili kudhihirisha udhaifu wake ili ikifika 2025 CCM yake na wananchi kwa ujumla wawe wameshamchoka mazima.
Anajua atatumia UMagufuli kushinda uchaguzi. Team Mahela itaimarishwa zaidi kuhakikisha anadhinda tena kwa kishindo.

Anaposema katiba mpya isubiri kwanza hiyo ndiyo maana yake.
 
Sasa kama wewe binafsi unasema Jiwe alikuwa katili, unaweza kudhani watu wote watampenda mtu katili na dhalili? Unajichanganya kwenye statement yako.
Alikuwa katili flani heri Samia mara elfu yuko fair mnaleta chokochoko mkinyooshwa mwatukana Sasa which Is which mkuu.
 
Alikuwa katili flani heri Samia mara elfu yuko fair mnaleta chokochoko mkinyooshwa mwatukana Sasa which Is which mkuu.
Cariha mama ukiwa unaongoza binadamu unatakiwa kukubali kuwa kuna challenges na sio kuwa maamuzi yote utakayotoa utashangiliwa, unaweza shangiliwa na wengi kwa maamuzi mabovu.

Ukapingwa na wachache lakini wakawa sahihi ukaliona hilo ubakabiri, usikatae kuchukuwa maoni ya wachache kwakuwa tu hukuyapenda mwanzoni ila umegundua ni mazuri.

Jitahidi kwa uwezo wako uliojaliwa kuongoza vyema kwa haki na usawa, ila ukatili na uonevu sio mzuri kama kiongozi.
 
Si unajua tena ukipata kitu kwa ngekewa, unakuwa huamini amini hivi...
 
Magufuri alikuwa bora sana, uwezi kulinganisha Magufuri na takataka, Rais gani ambaye hajiamini pamoja na kuwa na majeshi yote,kila siku ni kujificha kwenye jinsia, it's shame
Dikteta kichaa muuaji, hamna wakumkumbuka,

Samia Ni Bora mara elfu
 
Back
Top Bottom