msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,201
- 7,700
Hivi chamuliro nae ni kijana pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee pole sana. Hiyo ndo inaitwa kutumika kisiasa... Imeishia hiyoooBinafsi nlijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawa wahajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nlikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama nlivyokuja nazo.
Nliamini tunakuja zungumza na Rais wetu. Kumbe tunakuja elezewa mambo kadhaa na watu kadhaa
Kwa ccm kiongozi kuhutubia watu huwa wanaita ni kuongea na watu.
Imenibidi nikatazame jina: :Chizi Maarifa"your name is reflected you
Haya mambo ya kiongozi mkuu kuongea na wananchi mara nyingi ni Public Relations na kupiga Kampeni. Mfumo mzuri na sustainable na wenye tija ni kero zote kupitia kwa wawakilishi ambao wapo kila ngazi, na sababu Rais ni Taasisi nina uhakika hata akitaka kujua kama bei ya nyanya imepanda pale barabara ya saba chini ya mwembe mkoani Tanga hashindwi.
Hivyo basi nguvu nyingi itumike kwenye kurekebisha kero (sio kujifanya tunasikiliza kero ambazo nina uhakika hata miaka 15 iliyopita zilikuwa ni hizi hizi tu)
Mkuu 'tindo',Kwa ccm kiongozi kuhutubia watu huwa wanaita ni kuongea na watu.
Vijana ndio hao kina polepole ?
Mkuu 'tindo',
Huyu mama alidhani huu mtindo wa kukutana na makundi mbalimbali kutampambanua katika uongozi wake.
Kwa bahati mbaya, hakujiandaa vyema kuitumia hii mikutano kwa lolote; si mlejesho wala lengo maalum analolenga kufanikisha kupitia kwenye mikutano hii.
Mimi simlaumu, huenda amejifunza na ataanza kuitumia kwa malengo maalum anayotaka kuyafikia. Vinginevyo matokeo yake yatakuwa ni kama ulalamishi tunaouona hapa.
Kwahiyo wewe unamsemea Mama leo sio!?Alijua sana yale mliyotaka kuongea that's why hakuona sababu ya kutembeza mic kwa vijana wote 50.
Wewe binafsi, una jambo gani jipya kwa mfano?
Unamjibu huyo "Chizi" ambaye hana 'Maarifa'?Umri wa ujana unaishia miaa mingapi? Kama Umri wangu ni mkubwa but matendo,akili na viungo vyangu vipo intact kabisa.
Jambo hilo jipya lingesemwa na hadhira ile...Wewe binafsi, una jambo gani jipya kwa mfano?
Wameharibiwa na mfumo wa Elimu mbovu.Imenibidi nikatazame jina: :Chizi Maarifa"
Hata hivyo, hiyo si hoja.
Hoja ni hiyo lugha yako uliyotumia.
Mbona inakupa shida sana? Kiswahili pia hujui?
Hama nchiMama ametuangusha sana kwakweli. Sikutegemea hiki kinachoendelea.
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana ... Na utaendelea kuwagharimu..Hama nchi
Binafsi nlijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawa wahajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nlikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama nlivyokuja nazo.
Nliamini tunakuja zungumza na Rais wetu. Kumbe tunakuja elezewa mambo kadhaa na watu kadhaa