Rais Samia tuwe wawazi, uteuzi wa Mwigulu ulichemka

Teuzi za Tz hakuna uchambuzi, ni vi-memo. Matokeo ni kuwa na watendaji wa aina ya Mwigulu. Nimesoma maelezo yake kuhusu kodi ya miamala, ni utumbo mtupu. Ongezeko la kodi za miamala ni kuongeza utajiri wa makampuni ya simu, ambayo ni wao wamiliki wakuu. Na hayalipi kodi sahihi, zaidi ya kubadirisha majina pindi kipindi cha msamaha wa kodi kikiisha.
 
1. Mwingulu Nchemba
2. Dorothy Gwajima
3. Mollel

hapana hakuna kitu kama Dorothy muda wote yuko kishari ama anakwenda kumsuta mke mwenzake.... huyu Mollel muda wote ana mawazo kama kanyang'wa mke khaaaa sijawahi ona.

Ni hayo tuu kwa leo
 
1. Mwingulu Nchemba
2. Dorothy Gwajima
3. Mollel

hapana hakuna kitu kama Dorothy muda wote yuko kishari ama anakwenda kumsuta mke mwenzake.... huyu Mollel muda wote ana mawazo kama kanyang'wa mke khaaaa sijawahi ona.

Ni hayo tuu kwa leo
Hawa ni mawaziri mzigo kabisa kwa Mh.SSH
 
unajuwa mnapoandika msiandike kiushabiki tu jamani mimi nalipia malipo kwa control numba kila siku sasa huko amabko control number haifasnyi kazi ni wapi?
Sihusiki na malipo kwa control number, kama nilipoanza aya ya kwanza, "Kama kweli....", kumaanisha nimesoma kwa mleta mada, sina uhakika kama ni ukweli, na endapo ni kwelu basi maoni yangu yalifuata. Nadhani mkuu ndo umesoma kiushabiki kile nilichoandika.

Yote kwa yote, haifuti ukweli kuwa ni Waziri mzigo.
 
Yani tungekua na waziri wa fedha competent, kila mtu angekua na furaha mwezi huu. Bajeti mpya inaanza na vilio.
 
Huyu Madelu si ndio alitoa hela kwa vijana wake waandike mawe yote Tanzania Mwigulu Rais 2020...?,

Na anavyo vaa tai ya bendera ya Tanzania anatuona wananchi wengine wote ni matakataka.

Jana kaongea hoja za kipuuzi sana Clouds, Me i wonder Serikali inakuaje na wabunge wenye glimpase view kama huyu na ni Waziri sekta nyeti. Na wale waliokuwa wanamuhoji ni kama walikua wana vizia teuzi wana muogopa ogopa kumpigisha HardTalk za moto sana mpaka ajute kuhojiwa live. Waandishi wale walitakiwa wampige maswali magumu sana mpaka abaki anazunguruka kwenye kiti kiwe hakikaliki ...sasa maswali mepesi mepesi af anajibu kwa kulegeza sauti na anajibu utopolo.

Et tumeongeza sh 100 kwenye kila lita ya mafuta, mbona huwa yana pandaga na hatulalamiki.. like seriously?? Halafu anakataa kuwa Zambia mafuta hayo hayo ni bei rahisi kuliko Dar na wakati yanatoka Dar.. huyu mtu mtoeni hapo.

Itafika hatua watu watatoka Mbeya mjini kwenda Zambia Nakonde kujaza mafuta na madumu na wanarudi zao Mbeya wasione hasara ya kilometa 200 za kwenda na kurudi.. ikiwa kwa sasa hivi watu wameanza kutoka Tunduma kwenda Nakonde kujaza fulltank na kurudi, bei ya petroli kule ni 1850 kwa lita. Wakati Tunduma ni 2500+ huu ni UPUMBAVU na aibu kwa nchi na viongozi wake.

Mtu heshimu wananchi na kodi zetu. Hizo kodi mnazo jiamulia kuweka... mpaka kwenye miamala ya simu kwani kodi mnazotukata na mlizokuwa mnatukata tangu zamani zilikuwa zinafanya kazi gani,?
Clouds kazi yao ni pamoja na kusafisha wanasiasa corrupt,we nenda na hela zako pale na uwaambie wakupambe japo wewe ni jambazi wataanza kujibanabana na weee na kukuita mtukufu! Kile ki tv ni trash kabisa siku hizi
 
Back
Top Bottom