Ngokoyape
Member
- Feb 15, 2021
- 11
- 3
Umenena vyema kabisa.Wilaya ya Missenyi iliopo mpakani mwa Tanzania na Uganda ndipo kilipo kiwanda kikubwa cha sukari Tanzania cha Kagera Sugar. Cha ajabu ukienda mpakani kununua sukari, sukari ya Uganda...
Umenena vyema kabisa.Wilaya ya Missenyi iliopo mpakani mwa Tanzania na Uganda ndipo kilipo kiwanda kikubwa cha sukari Tanzania cha Kagera Sugar. Cha ajabu ukienda mpakani kununua sukari, sukari ya Uganda...
Kakudanganya nani michezo kuna betting kamari huko kuna hela hatariZamani nilidhani ukipelekwa au ukihamishiwa wizara ya kilimo na uvuvi na ufugaji kama wazir umekomolewa. Nimekuja kujuwa hii wizara ni nzuri sana kwenye deal na upigaji. Hela ipo unaweza kupiga hela ndefu sana.
Wizara ya hovyo ambayo ukipangiwa kama waziri ni ya habari na michezo. Utambulia tu kuendeshwa kwenye viyoyoz ma V8 GX.
Siyo viwanda tu wanalinda wakulima wa miwa tzSasa kuna viwanda gani Bongo vya kulinda aisee?Acha leseni zitolewe Mangi apige hela ndefu MAZOMBIE wapate sukari ya kutosha. Kila leseni Mangi na 'wariayee' wahakikishe wana 10% percent yao.
No Mercy kwa MAZOMBIE!
Kuna wakulima gani Bongo wa kuwalinda?Siyo viwanda tu wanalinda wakulima wa miwa tz
Kuna wakulima gani Bongo wa kuwalinda?
Vikiwepo vya ndani tu sukari inapanda bei, tena wanapandisha makusudi kwa kupanga kwa pamoja. Ila watu wakiruhusiwa kuleta kutoka nje, ndio vya ndani na wao wataona wauze kwa bei iliokuwa sawa. Cement inatoka Dubai/Omani inauzwa bei sawa na inayozalishwa hapa au saa nyingine ni rahisi kuliko ya hapo Tanga.Wenzake wanapozuia kuagiza maana yake ni kulinda viwanda vya ndani.
Ila kwa ardhi iliyopo Tanzania hatukutakiwa kuagiza nje sukari, ngano, mafuta ya kupikia nk. Ni kwa vile tu Mungu alituumba bila ubongo.
si anaenda kuongezea alichonacho?Utakomboa gari kwa kuuza kuku ama
Leo hii kuna mtu kanipa taarifa kuhusu Rais Samia kasimama pale Mbagala na kusema "Mbagala oyee!" Lakini hakuna aliyeitikia.Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo.
Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense'
Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.