Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,415
- 30,925
Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake.
Mama kilio cha familia ya Ben na Azory sio kidogo hebu tuambie maana na wewe ni mama; je, wake zao waitwe wajane? Na watoto wao waitwe yatima?
Mama kilio cha familia ya Ben na Azory sio kidogo hebu tuambie maana na wewe ni mama; je, wake zao waitwe wajane? Na watoto wao waitwe yatima?