Rais Samia, tunaomba uunde Tume ya kuchunguza vitendo vya kuteka, kuumiza na kupoteza watu

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,907
Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake.

Mama kilio cha familia ya Ben na Azory sio kidogo hebu tuambie maana na wewe ni mama; je, wake zao waitwe wajane? Na watoto wao waitwe yatima?
 
Hatuamini kama wameuawa maana hatuoni ni nini walifanya mpaka ikawapasa kufa mama uongozi wako umeanza vizuri nawa mikono kama pilato ujiepushe na kilio cha damu hizi maana mwenye mpini sasa niwewe mwendazake ameshalipwa sawia kwa aliyotenda who knows
 
Tume gani? Wakat hayo yakitokea yeye alikuwa Nani ? Alikuwa raia wa kawaida ? She was a highest commanding officer Kando ya Jiwe ...acheni uzwazwa
 
Tume gani? Wakat hayo yakitokea yeye alikuwa Nani ? Alikuwa raia wa kawaida ? She was a highest commanding officer Kando ya Jiwe ...acheni uzwazwa
usiwapangie watu cha kusema kwani wakati tra wanapora hela za watu kwenye mabenki alikuwa 2nd incharge vipi kuhusu kubambikia watu kesi mama alikuwa headmistress? Kama huko kategua dhulmat hata huku hatashindwa halafu usinipangie namna za kudeka kwa mama yangu.
 
Naunga mkono hoja 100%, ongezea na waliompiga risasi Lissu, kumteka Mo and Roma, mashehe waliopotezwa kibiti, maiti zilizookotwa ufukweni na ushenzi wote uliofanywa kipindi cha utawala wa aliyekwenda.
 
usiwapangie watu cha kusema kwani wakati tra wanapora hela za watu kwenye mabenki alikuwa 2nd incharge vipi kuhusu kubambikia watu kesi mama alikuwa headmistress? Kama huko kategua dhulmat hata huku hatashindwa halafu usinipangie namna za kudeka kwa mama yangu.
Kategua wapi?
Nani aliporwa hela na amerudishiwa?
 
Mh rais mama yetu mpendwa samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake. Mama kilio cha familia ya ben na azory sio kidogo hebu tuambie maana na wewe ni mama je wake zao waitwe wajane? Na watoto wao waitwe yatima?
Hakuna haja ya tume mtekaji mkuu kashakufa. Over endelea kuenjoy bongo mkuu
 
Kama uchunguzi wa Sabaya ulio wazi unachukua wiki mbili naanza kuwa na wasiwasi na dhamira iliyopo kupambana na waliotenda maovu
 
Mh rais mama yetu mpendwa samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake. Mama kilio cha familia ya ben na azory sio kidogo hebu tuambie maana na wewe ni mama je wake zao waitwe wajane? Na watoto wao waitwe yatima?
Ni kweli kabisa na aspounda tume hiyo ajue ikiundwa baadaye na yeye atachunguzwa na tume hiyo.
 
Mshindwe na mlegee😂😂😂
 
Karma haita waacha salama wahusika wote wa udhalimu uliokuwa ukiendelea.

Tutaendelea kushuhudia moja baada ya mwingine wakipukutika.
 
Back
Top Bottom