Rais Samia, tunakusubiri kwenye U-DAS na Watumishi wa Umma

Mamlaka ya Rais hata wewe hujui ni kwamba anapaswa kufuata Sheria za nchi
Sikumaanisha atavunja sheria, lah hasha atafuata sheria zinazompa mamlaka ya kuchagua nje ya box kama JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power 🙏, amen🙏)!
 
Subiri mshtuko! Mamlaka aliyonayo rais wetu hayamfungi hivyo akiamua vinginevyo!
Nyerere alisema katiba tuliyo nayo akipewa nchi kichaa hamna rangi tutaacha ona. Na kweli akapewa kichaa nchi ila bahati nzuri Mungu ni fundi mkweli na hafanyi makosa.
 
Sikumaanisha atavunja sheria, lah hasha atafuata sheria zinazompa mamlaka ya kuchagua nje ya box kama JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power , amen)!
Hata hapumziki saivi anaongoza Angels
 
Ilikuwa taratibu za kiutumishi kwamba vyeo vya kiutendaji wa kiserikali kama Katibu Wakuu wa Wiraza na Naibu wao, Katibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Manispaa, Wilaya na Miji kuwa ni Watendaji Wakuu au Waandamizi wa Utumishi wa Umma na sio wanachama wa vyama vya Siasa.

Kwa hiyo tunategemea "mkeka" ujao hautakuwa na MAKADA au wanasiasa wa chama chochote cha siasa, maana umeamua kufuata Katiba na Sheria.

Nikutakie uteuzi mwema mama usinisahau na mimi

Kumbuka kufuata Sheria ya Utumishi wa Umaa Sura 298 Marejeo ya Mwaka 2009.
Uteuzi uzingatie uwezo wa kuongoza familia zao pia.
Ni fedhea kuona mteuliwa hakubaliki hata na watoto wake
 
Back
Top Bottom