Rais Samia tunakukumbusha tu kwamba unamalizia mbio aliyoianza Hayati Magufuli. Umempokea tu kijiti. Usijisahau

Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu.

Mbio yenu inaisha 2025.
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti.

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio

wasukuma wanauchungu!!!
 
Mama kaanza kudemka mapema mno jaman , kuna mambo mengi sana ya muhimu angeanza kufanya kabla ya kuanza kupeana zawadi na safari zisizokua na mbele wala nyuma

Yani mi naumia nalipa kodi hat ATCL sijawah kupanda ye Mama kila siku yuko angani tu utadhan ndege za Baba ake mxieww
sukuma gang
 
SSH amepokea kijiti toka kwa mwamba Mzee baba JPM aliyekua machine kweli kweli lazima gap lake lionekane.....
Atabaki kuwa shujaa na rais wa karne
 
Alikua mwamba kwako wengine hakuwa mwamba
Tunalifahamu hilo pole sana..je wewe ni muhanga wa vyeti feki, ubadhirifu wa mali ya umma ama uwekezaji usio kuwa na tija?...anyway it is what it is ...ride with the waves, naamini alifanya kwa ajili ya manufaa ya wengi
 
Ataka asitake mama samia tutamlazimisha tu aendelee kuongoza had 2040 huko hadi achoke mwenyewe.
 
Watu wanalazimisha afuate mambo ya mwendazake kwani aliapa kuisimamia katiba au kufuata ya aliyeondoka?
Aliyeondoka hakuwa anafuata katiba.
 
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu.

Mbio yenu inaisha 2025.
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti.

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio.

2026 tuna wakimbiaji wapya.
But ni Rais tayari na mwenyekiti, hivyo bas mkae kwa kutulia maana hakuna jinsi ya kumrudisha tena ndo kashaondoka. Muacheni kumtajataja mwendazake kashatangulia na era yake imetoweka kama mshumaa!
 
Kulipa kodi sio lazima upande ATCL, Ulikuwa unashangilia ndege bila kujua unahitaji nauli kuipanda??
Mama kaanza kudemka mapema mno jaman , kuna mambo mengi sana ya muhimu angeanza kufanya kabla ya kuanza kupeana zawadi na safari zisizokua na mbele wala nyuma

Yani mi naumia nalipa kodi hat ATCL sijawah kupanda ye Mama kila siku yuko angani tu utadhan ndege za Baba ake mxieww
 
Mbona jiwe hamkuwa mnamwambia hivyo?
Mbona aliwaambia mkimshauri ndio mnaharibu kabisa na mkaufyata??
Hiyo kazi anayoifanya sisi ndo maboss zake, hivyo afuate instruction akae kwa ktulia, upo nyonyo ?
 
Tunalifahamu hilo pole sana..je wewe ni muhanga wa vyeti feki, ubadhirifu wa mali ya umma ama uwekezaji usio kuwa na tija?...anyway it is what it is ...ride with the waves, naamini alifanya kwa ajili ya manufaa ya wengi
Mimi mhanga wa ukabila,ukanda,Undugu,ukaidi na ujeuri
 
Ni sawa, hata mimi najua alikua mwamba kwa watanzania 84%.

Nyie 16% rais wenu yuko ubelgiji🙄🙄
Mkabila,mkanda,mbaguzi, hao 84% nidyo wako chato kwenye uwanja wa ndege, mbuga ya wanyama ya kulazimisha kila kitu chato kweli ndiyo wapo hao watanzania 84% tutamkumbuka kama ndiyo rais wa hovyo kuwahi kutokea ktk nchi hii
 
Back
Top Bottom