Rais Samia tunakukumbusha tu kwamba unamalizia mbio aliyoianza Hayati Magufuli. Umempokea tu kijiti. Usijisahau

Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu...

Mbio yenu inaisha 2025...
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti...

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio...

2026 tuna wakimbiaji wapya.
Unataka akwambie mara ngapi mkuu, alikwishasema yeye yupo "Awamu ya Sita", hayo ya awamu ya tano yaliishia hapo alipoondoka Mwenda zake.

Kuna kauli iliyo wazi zaidi ya hiyo aliyokwishaitamka?
 
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu...

Mbio yenu inaisha 2025...
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti...

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio...

2026 tuna wakimbiaji wapya.
Nadhani kila dereva na konda wake .. Hawarithiani...hawarithishani...!!!
 
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu...

Mbio yenu inaisha 2025...
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti...

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio...

2026 tuna wakimbiaji wapya.
Dah..... Wenye nia njema tutakumbuka mengi....
"Ukiona adui yako anakusifia ujue kuna mahali umekosea....ukiona adui yako analialia ujue umempiga panapouma" - JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo awamu ya sita kachaguliwa kwa uchaguzi upi?. Waache kuzuga watu, wapo awamu ya tano kipindi cha pili full stop 🛑.
Hahitaji kuwa rais kwa kuchaguliwa. Kwa katiba Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. She is the president full stop 🛑
 
Hebu ondoeni kisirani lazima awe na timu ya kazi ya kwake anayoiamini kwahiyo mlitaka Bashiru na kina polepole wabaki?
 
Kwa Msaada wa TISS kila kitu ni muruwa. Unamuibia mbunge wa kawe kura halafu unamuingiza bungeni kwa mgongo wa nyuma?
Wewe ni mfu tu
hahaha ndio maana na mwambia mtoa mada hapa. hakuna atalofanya. kama vyombo vya usalama vinaibeba ccm. nn zaid watafanya?
wataandamana? nani mwenye ujasiri huo wa kujitokeza?
Hamna
 
Mbona JPM na yeye ilikuwa ni tengua, teua kila saa? Mpaka dakika za lala salama Bashiru akawa balozi na katibu mkuu kiongozi....muacheni mama anapita mlemle, kazi iendelee !
 
Yeye ndiye rais wa JMT wa awamu ya sita. Wakimbiaji subirini michuano ya olimpiki mpokezane vijiti.
Mkuu wasubirie olimpiki, tena za viwete,
Comment hii wasipoielewa basi tena!
Wasubirie kutaga!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Kweli kipindi cha kila mtu kujifanya mwongeaji,kipindi cha mwendazake ilikuwa fuuuuu
Uhuru wa kuongea unaondoa chuki kwenye mioyo ya watu.
Ujuwe mwendazake alipokuwa kwenye coma, watu walisha andaa pilau kufanya sherehe.
Kama serikali isingekuwa kali nchi hii ingelípuka kwa furaha Kama siku ya uhuru
 
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu...

Mbio yenu inaisha 2025...
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti...

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio...

2026 tuna wakimbiaji wapya.
Rais wa awamu ya sita, na tunae mpk #2040, utaki hama Nchi nyau ww
 
Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...
Hapa safari hii nimepata hint ambayo sikuwahi kuijua maisha yangu yote. Siku nikibahatika kuwa kiongozi wa ngazi ya juu au kuwa karibu na kiongozi wa ngazi ya juu ambaye atakuwa naye hana uelewa na hili jambo, nitakuwa mwangalifu sana katika hili ikiwa ni pamoja na kutoa thahadhari kwa wyeyote atakayekuwa hawalielewi jambo hili. Sikuwahi kulijua hili katika maisha yangu yote
 
Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti.
Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu.

Mbio yenu inaisha 2025.
Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti.

Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu.

Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi kama ulikua na mkono wako hapooo...

Maliza mbio.

2026 tuna wakimbiaji wapya.
🤣🤣🤣🤣
 
Mataga mtulie mwacheni Mama afanye kazi yake! Shida ni kuwa mlikaririshwa na Kayafa kuwa kazi ya Rais ni kwenda kuzindua zahanati na vizimba vya masoko! Rais ni Taasisi kubwa, Kazi iendele!

Hiyo kazi anayoifanya sisi ndo maboss zake, hivyo afuate instruction akae kwa ktulia, upo nyonyo ?
 
Hata JPM angekuepo nyumba na magari vingekabidhiwa jamani
Mwacheni Rais afanye kazi zake

Mama kaanza kudemka mapema mno jaman , kuna mambo mengi sana ya muhimu angeanza kufanya kabla ya kuanza kupeana zawadi na safari zisizokua na mbele wala nyuma

Yani mi naumia nalipa kodi hat ATCL sijawah kupanda ye Mama kila siku yuko angani tu utadhan ndege za Baba ake mxieww
 
Back
Top Bottom