Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Katika miaka kumi ya utawala wa awamu ya nne, kwa taarifa hiyo, deni liliongezeka kwa $ 11 bilioni. Swali la kujiuliza "hilo deni lilitumika kufanya nini?" Vivyo hivyo tujiulize deni, katika utawala wa awamu ya tano, liliongezeka maradufu ($12 bilioni), ndani ya miaka 5, limetumikaje? Je, awamu ya sita tunakopa kwa ajili ya nini?
Tanzania karibu yote imeunganishwa kwa barabara ya lami, hiyo ni kazi ya awamu ya nne, Stendi nyingi za kisasa zimejengwa, hiyo ni kazi ya awamu ya tano, Muacheni Mama samia naye afanye yake ndio kwanza ana miezi sita tu, ana kazi ya kumalia stigler, SGR na madaraja kibao, hawezi maliza hivyo vitu bila mikopo. Magufuli kakopa lkn hivyo nilivyovitaja hakuna hata kimoja ambacho kimefika hata 50% ya ujenzi, so samia ana kazi ngumu zaidi
 
Hii ni aibu kama kweli, Stand kujenga tunaomba hela?... yaani hao watendaji wa eneo hili wameshindwa kuwaza chap namna ya kupata hela ya stand..?
 
Awamu ya 5 hawakufanya lolote zaidi ya majisifu tu .

Miradi mingi ilikuwa ni ya awamu ya mh Kikwete.

Nshakwambia Mmawia, huwa unaacomment pasipo kutumia medula oblangata yako Daah over umetoka klabu ya kimpumu au unatumia sigara kubwa,stop it ukimya nao ni busara
 
Mimi nakuambia huyo Mkwere fisadi ujenzi asingekuwa waziri Magufuli asingefanya lelote!
Kwani mwenye uamuzi wa kutoa fedha za miradi ni waziri au rais?

Wacha mahaba ya kinafiki wewe sukuma gang
 
Nshakwambia Mmawia, huwa unaacomment pasipo kutumia medula oblangata yako Daah over umetoka klabu ya kimpumu au unatumia sigara kubwa,stop it ukimya nao ni busara
Usinilazimishe kukubali ugoro wako.

Miradi yote ya awamu ya 5 ndiyo imeonekana awamu ya 6
 
Ttcl wamefirisika sasahivi
Kipindi kile, TTCL walikuwa wanatoa GAWIO
Acha propaganda za kijinga..

Ttcl wana deni la zaidi ya mara mbili ya assets zao bilioni 400+..je hili deni limetokoa baada ya hii miezi sita ya Samia?.

Uongozi wa Magufuli ulikuwa wa uongo uongo na propaganda nyingi..kusema Ttcl imefilisika sasa hivi ni mwendelezo wa propaganda..Ttcl kutoa gawio ni propaganda tu na uongo wa wazi.
 
Lakini hivi kijenga sten yq billion 20 tunashindwa hadi tukqombe mkopo wakati makusanyo ni trillion 1.6 mwa mwezi
You know nothing Kimla ! Unajua hiyo 1.6T ni kiasi gani kinaenda kuhudumia deni la taifa kila mwezi, unajua wage bill ya serikali kila mwezi? Mkuu fahamu tu uchumi wetu ni mdogo sana ndio maana tumekopeshwa kiasi cha 1.2T kutoka IMF nchi yote inashangilia. Umejiuliza swali kwanini tinashangilia mkopo wa 1.2 T wakati kila mwezi tunakusanya zaidi ya hiyo?
Tumieni akili zenu vizuri, Rais Samia sio mjinga, watanzania wengi walikuwa brainwashed na mwendazake kusema tunajenga kwa pesa zetu, kumbe kuna neno alisahau kusema kuwa tunajenga kwa pesa zetu lkn ni za mkopo tutazilipa
 
Tueleze dola bilioni 11 zilitumikaje na dola bilioni 12 zikitumikaje.

Kumbuka wakati wa bilioni 11 tetesi za akaunti za nje zilizoficha fedha za mangumashi zilikuwa nyingi, lakini wakati wa bilioni 12 hizi tetesi mbona hatuzisikii?
====
Acheni kufukua makabuli.
We hukuwahi kupata tetesi ya kupotea trilioni moja?
 
Back
Top Bottom