Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

What happened to our self reliance philosophy? Nchi omba omba haiwezi kuheshimiwa; we should do away with the mkwere dependency syndrome!!!
Self reliance ile inayotanguliwa na neno Ujamaa? Bulesi are you serious unataka kuturudisha kwenye failed doctrine?
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

____________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.

Hamkuzoea kuambiwa ukweli

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Self reliance ile inayotanguliwa na neno Ujamaa? Bulesi are you serious unataka kuturudisha kwenye failed doctrine?
Hapana siseme turudi kwenye ujamaa ila tuwe na mindset ya kutumia human and natural resources zenu diligently to achieve our goals badala ya kutegemea handouts!!! Kuna nchi duniani hazina utajiri kama tulionao lakini wametumia their natural endowments kujipatia Maendeleo makubwa. To be self reliant sio lazima uwe mjamaa!!!
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

____________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela?

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Nimesikitika kupita maelezo. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.

True ile stend tungekopa word bank just imagine ile stend ndo ya gharama ya juu just for 53b yaa arusha hawezi fika hata 27b hayo si makusanyo ya halmashauri tu
 
JPM alikuwa haelewi chochote. Ndo mana alikuwa anakomba hazina yote inabaki empty mpaka anakosa hela za kupandisha mishahara yawatumisi, ajira hakuna mpaka anafikia hatua ya kujazamachnga barabarani kisa ameshaona ameharibu angalau ngoja liende tu hivyohivyo.

Alifikia hatua yeye mwenyewe hajuu ashuke lipi aache lipi. Anapuyanga tu huku maisha yakiendelea kuwa magumu.

Watu wenye akiri hukopa navkukiri kuwa we ni maskini pasipo kujimwambafy wakati unajua kabisa huna lolote ila unawaumiza tu wananchi

Nina wasi wasi atakuwa alijinyonga baada ya kuona ubabe wake hauna msaada jamii inazidi kulia na kusaga meno. Sema kama huna hela wakuidie katika famulia siyo unajigamba una hel wakati watoto wako wanakufa kwa kwashiokor na hunali ilimradi unaweka heshima bar
Mama ameimgia amekuta hazina imejaa ndo alizotumia kuwa promote baadhi ya watumishi .halafu elewa mkuu waajiriw wa serikali hawafiki hata laki 6 .kuwa hiyo magu anaangalia athari za uchumi kwa watanzania waliobaki just karibi 60 ml .
 
Stendi ipi hiyo ya kisasa wanayotaka kujenga?

Ile ya Mbezi ilipigiwa debe itakuwa ya kisasa, lakini hadi sasa jengo tu ndio la kisasa labda...
 
Mama ameimgia amekuta hazina imejaa ndo alizotumia kuwa promote baadhi ya watumishi .halafu elewa mkuu waajiriw wa serikali hawafiki hata laki 6 .kuwa hiyo magu anaangalia athari za uchumi kwa watanzania waliobaki just karibi 60 ml .
Jpm alikomba hazina ikabaki empty mama anahangaika

20211022_204735.jpg
 
Kama tuliweza kula na kunywa chini ya shetani sidhan kama kuna gumu lolote litatuweza. Hata wamweke kobe kuongoza hatuna shida. If you managed to survive under Jiwe then nothing else can defeat you.
Ku-'survive'?
Hilo halina shaka, tutasavaivu tu mkuu hata tukanyagwe utosini inaonyesha waTanzania wata-'savavivu' tu!

Hapa linalotia majonzi mioyoni ni hadhi ya nchi yetu Tanzania. Tutasavaivu, lakini heshima ya nchi yetu itakuwa imegaragazwa kwenye tope na uchafu wa jalalani. Hili linasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom