Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Wanaandaa mradi wa kuomba hela! Au mimi sijui kiswahili, yaani kuomba hela nako unakatengenezea mradi ili ukizipata hizo hela unazitumia kutumia kwenye mradi wa kujenga stendi!
Mimi cha kwanza kilichonishangaza Ni hicho ila sikutaka kuhoji kama ulivyofanya nikihofia labda yalikuwa Ni makosa ya Mleta Uzi. Na kama amenukuliwa vilivyo basi tuna Kiongozi ambaye Ni JANGA.
 
Wewe msukule wa mbowe, mikopo unapinga na tozo unapinga.

Unataka nini ?

Atolewe makengeza jela aje kukupelekea moto ?
Mikopo tunapinga na tozo tunapinga ?

Kwa hiyo serikali imeamua kufanya lipi, kuendelea kuomba omba au kuondoa tozo ??????
Mkuu, huyu mtu tulishasema na yeye amekiri hana uwezo kama wa Magufuli lakini cha ajabu anataka tena miaka mitano. Miaka Kitano ya nini? Mimi nadhani baadhi ya watu wa Pwani wana matatizo ya kupenda kuombaomba.
Yani anafanana nae kupita maelezo, wote wawili wanapenda kuomba omba.

Spichi ya Mbezi Luis Magufuli alisema "hata ukitaka kujenga nyumba ukisubiri upate hela yote hutajenga.... tutafanya mambo haya kwa ujasiri wa kujitegemea."

He made us proud. He was the truest apostle of Tanzanian identity and pride since Julius Nyerere.

Mkuu 'Allency', mbona leo unanishangaza kidogo, kwa maana, pamoja na kwamba mimi na wewe hatujawahi kujibishana humu ndani ya Jukwaa hili, lakini unashindwaje kujuwa ninaposimamia? Ngoja nikwambie jambo linaloweza kukushangaza kidogo. Nikirudi nyuma na kuhesabu 'likes' ulizowahi kunizawadia kwenye maoni yangu juu ya msimamo wa mambo tunayozungumzia hapa, haziwezi kupungua 20, na pengine hata kufikia 50! Halafu hapa unasahau kabisa na kunipachika hayo uliyoyaweka hapo juu?
Samahani mkuu, ni misunderstands tu. Heshima kwako
 
Huwezi kuandika pumba alafu tupite bila kukuonya, take easy with wrong logic.
Wewe una ubongo wa kujua pumba? Thubutu!! Kama umeshindwa kuwlewa hoja yangu.

Rudi pale kahesabu "Likes" ndiyo utajiona uko sawa na sisimizi
 
Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period
Licha ya hii comment yako bado sikuaminigi kabisa. Huna msimamo na hicho kitu kinanikera kupita maelezo. Mwanaume unatakiwa kuwa thabit siyo legelege.

brazaj
 
Licha ya hii comment yako bado sikuaminigi kabisa. Huna msimamo na hicho kitu kinanikera kupita maelezo. Mwanaume unatakiwa kuwa thabit siyo legelege.

brazaj
Wewe unaishi kwa kukariri ndiyo maana unaniona Sina msimamo. Unataka niseme Mbowe siyo gaidi, Mimi nasema Mbowe ni mtuhimiwa wa ugaidi, tuiachie mahakama.

Unataka Katiba Mpya, ninataka Katiba Nzuri kwa matakwa ya wananchi na siyo kwa msukumo wa CHADEMA.

Unaponda kila kitu anachofanya Rais SSH, nina muunga mkono kwa hatua anazochukua kuhusu kujenga uchumi
 
Uchumi gani?
 
Endeleeni,hata JPM mlimwombea kifo kwa kusema hivyo hivyo Mag mpaka 2025 Haya yaliyotokea uliyaona. Na sasa mmeanza tena mpaka 2040.Unajua kesho yako wewe, Nyamaza kimya,tena kimya chenye mshindo.Acha Mungu afanye kazi yake,usimpangie. Usituletee USIKU TANZANIA.
Mkuu 'Overspoon', sielewi kwa nini umenihusisha kwenye andiko lako hili uliloniunganisha pamoja na 'Matola'! Ni wapi nilipompigia kampeni huyo mama aendelee mapaka huko unakokusema wewe?

Lakini inawezekana hukuelewa nilichoandika , na ulipofika kwa 'Matola' ukaona unirukie mimi bila kuelewa nilichoandika. Naona huna muda mrefu sana hapa jukwaani, kwa hiyo inawezekana bado unajifunza jinsi ya kuutumia huu ukumbi.
 
Mkuu uko sawa kabisa. Magufuli asingethubutu kusema haya hadharani, ule alikuwa wanaume hasa. Ni jasiri pekee anayeweza kula mpaka pesa za wastaafu na kisha kuwaacha njaa. Kumbuka habari za pssf kudaiwa 6tln. Haya angeweza kufanya magufuli pekee yake. Huyu mama ana huruma sana ndio maana anajitahidi kuomba kwa jirani kama watoto wake hawa watapona njaa kubwa waliachiwa na mzazi wa kambo.
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

____________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela.

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Inasikitisha kupita maelezo jinsi awamu hii inavyotutweza utu wetu. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.

Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period
Mara ngapi tuliambiwa SGR, Stiglers Gorge /JNHEP vyote vinajengwa kwa pesa za ndani. Je, ukweli kwa sasa upo wazi. Ni mikopo kwenda mbele.
 
Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period

:(:(:(
 
Usimfananishe magu na Hangaya, Hangaya ni mkweli, mtulivu, ameleleka kimaadili, leo watu wanapata kazi kumtetea marehemu, kisa mapungufu yake, acha kumpa sifa mtu/marehemu aliye umbuka!
 
Unajua hali ya kimaisha ya raia wa kawaida wa India na Pakistan? Hao jamaa wakipata hata nafasi ya kuja hapo TZ hawakubali tena kurudi kwao! Korea Kaskazini wana kila aina ya bomu, wanajenga na Nyuklia pia lakini asilimia kubwa ya wananchi wake wanashindia mlo mmoja! BTW hakuna nchi isiyokopa au kusaidiwa kwa namna moja ama nyingine! Kutawala ingekuwa ni majaribio natamani nyie watu mngepewa miaka 5 muongoze hii nchi tuone hizo "akili kubwa" zenu
Je, wajua magu akitaka kutupeleka N.korea?
 
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"

____________________________________________

Magufuli anabiringika kaburini.

Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri, na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi.

Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia.

Mpaka stendi tunaomba hela.

Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela?

Inasikitisha kupita maelezo jinsi awamu hii inavyotutweza utu wetu. Tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo.

Magufuli alikuwa anadanganya kuwa mradi huu au ule umejejengwa kwa hela za ndani. Maneno kama "hela zipo" yalikuwa ya kawaida masikioni mwa watu. Kitu ambacho kilikuwa kikisemwa ni kuwa alikuwa anakopa ile mbaya kwa miradi ambayo anadai inagharamiwa kwa pesa ya ndani. Samia yeye ni muwazi. Anasema wazi kuwa anakopa.
 
Back
Top Bottom