Rais Samia: Tumewaondoa Wamachinga kwasababu Wageni Wanaogopa Kuja Tanzania

Kwanin JK alimuweka Magufuli?
Yaani unaamini tu CCM ilishinda kwa sababu ya Magufuli?!! Khaaa 😳😳🤣

Minyukano ya Lowassa na Membe ndiyo iliyopelekea JK amuweke Magufuli....JK hakumtaka Lowassa mtu aliyekuwa na nguvu(70% ya wajumbe wa NEC Taifa).....naye Lowassa hakutaka Membe agombee....nguvu ya Lowassa ndiyo iliyompa urais JPM.....
 


Mama asithamini sana Wageni akatusahau wazawa. Awe mzalendo na sio kila kitu anawaza kumfurahisha Mzungu tu

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app

Nilisema zamani kuwa kwasasa tunaongozwa na mwana NGOs. Kila mara utasikia tuandae mradi tuwaombe wenzetu watusaidie. Hutasikia tena tunaweza

Sisi tulioishi wakati wa mchonga tulipata mpaka ped toka nje, chupi na madaftari. Tulisoma kwa raha ingawa mwalimu alisema misaada na mikopo inahatarisha uhuru wetu, tuliipokea na ikatufanya tule chakula ambacho tusingekipata majumbani kwetu sisi watoto wa wakulima. tulipewa kuanzia madaftari mpaka pen.

Nyinyi mnaoishi kwenye uchumi wa kati watoto wenu wa kayumba wanapata hata uji wa bure????
Mdogo wangu mama Samia ulisotma Mzumbe ya enzi hizo unajua watawala waliotukukuka walipitia pale.
Achana na wanaosema hayo yote tembeza bakuri tusonge mbele.
 
Back
Top Bottom