Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

Kwahiyo mkuu waache hata kama sio chapakazi?ili tu kusiwe na panga pangua?
Umakini katika kuchagua na Vetting utahakikisha hakuna panga pangua..., (ndio maana nikasema isiwe desturi) yeye kama yeye sababu anaanza upya ana kila haki ya kufumua kila kitu na kufuma upya..., ila kufuma kwa umakini kutaondoa sababu za kufumua fumua
 
Watu wa wenye uwezo wa kutafsiri ilani na theory za uchumi katika maeneo yao ili kuleta matokeo makubwa (big results now) ndiyo kipindi chao awamu hii ya 6

Source : REPOA Tanzania

Aggrey Mwanri anasema huwezi kuwa kiongozi katika mazingira ya Denmark au Korea ya Kusini ukawaahidi wananchi ambulance. Wananchi wa nchi hiyo watakushangaa.
 
Wakuu wa vyombo vya usalama kadhaa, nimeona body language zao sizo zenye furaha katika hafla nyingi zilizofanyika wiki hii Ikulu Chamwino, hii ni ishara wamepata fununu baadhi yao watastaafishwa au kupangiwa kazi zingine.

 
PM haiwezekani,ukiteua PM mpya maana yake umavunja Baraza la Mawaziri. Majaliwa yupo sana,kitendo cha kufanya mabadiliko madogo yamemuhakikishia kubaki na nafasi yake
halafu nasikia mama ndio alipendekeza majaliwa awe waziri mkuu kwa hiyo kutolewa labda mambo yawe yameshindikana
 
Back
Top Bottom