Rais Samia, tueleze kwanini ulimtumbua Dkt. Kalemani na kutuletea Makamba!?

We sukuma gang hebu tulia dawa ikuingie, sasa ni zamu ya msoga gang... habari za maslah mapana sijui ya taifa unayajua wewe, watu wanaweka watu wao ku facilitate upigaji sa hv.. walishabanwa vya kutosha sasa ni kuifyonza inchi mpaka damu yote ikwishe...
 
Kwani itaoza mkuu…wacha ikae pending kwanza….wizara imevamiwa na watu ambao wanasadikika kuwa na makandokando mengi…wanatupa wasiwasi mno…
Techonoly inabadilika sana. mafuta yanaanza kupoteza mwelekeo. Umeme na matumizi ya Hydrogen kuzalishia nishati, yanaweza kabisa kuua soko la mafuta na gas, miaka ijayo
 
Wakuu salaa,

Ukiirejea speech ya Rais alisema kamuondoa kalemani ajili ya utendaji mbovu, lakini ukitizama yanayoendelea wizara ya nishati utagundua makamba kapwaya kuliko mtangulizi wake.

Kama kweli utendaji mbovu ndo kigezo cha kumuondoa mtu, basi rais tuondolee makamba, vinginevyo utatufanya tutaamini, Makamba ni waziri wa mchongo na wala Kalemani hakuondolewa kwa utendaji mbovu.
mzee wa kupiga madili na michongo.
 
Habari za Bwawa la Nyerere na Ngonjera za Bwana January Makamba ni ushahidi tosha kuwa Makamba ni dhaifu sana ukimlinganisha na Dr Kalemani

Mama Samia anapaswa kutuambia Je alimtumbua Kalemani kwasababu ya uwezo Mdogo au ni chuki binafsi ambazo haziangalii maslahi mapana ya Taifa?

Makamba ni mtu mwenye tuhuma za ufisadi tangu akiwa mwenyekiti kamati ya Bunge yeye na Mwigulu Waziri wa fedha.

Kuchelewa kwa Bwawa hili je ni conspiracy au nini?
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
na mgao wa umeme ushaanza, uhuni mtupu.
 
Wewe nae umeshakuwa kilaza, wenzio tunajadili maswala ya kitaifa, wewe umebaki kumfikilia mbowe, pole sana
Mbowe katokea wapi tena ! Hivi Kalemani aliyekuwa anazindua umeme kwenye nyumba za udongo na nyasi ndio wa kumfagilia hadi mnakonda kweli ?
 
alikuwa anatoa maagizo amvayo hawezi kuyasimamia.mfano kupanda kwa gesi na kuhusu kulipia nguzo
 
Wakuu salaa,

Ukiirejea speech ya Rais alisema kamuondoa kalemani ajili ya utendaji mbovu, lakini ukitizama yanayoendelea wizara ya nishati utagundua makamba kapwaya kuliko mtangulizi wake.

Kama kweli utendaji mbovu ndo kigezo cha kumuondoa mtu, basi rais tuondolee makamba, vinginevyo utatufanya tutaamini, Makamba ni waziri wa mchongo na wala Kalemani hakuondolewa kwa utendaji mbovu.
Rais Samia hakumtengua Kalemani ispokuwa Makamba na genge lake walimfanyia kitu kibaya sana tena wakamtafuta kumuondoa. Genge la wahuni
 
Wakuu salaa,

Ukiirejea speech ya Rais alisema kamuondoa kalemani ajili ya utendaji mbovu, lakini ukitizama yanayoendelea wizara ya nishati utagundua makamba kapwaya kuliko mtangulizi wake.

Kama kweli utendaji mbovu ndo kigezo cha kumuondoa mtu, basi rais tuondolee makamba, vinginevyo utatufanya tutaamini, Makamba ni waziri wa mchongo na wala Kalemani hakuondolewa kwa utendaji mbovu.
Wakuu salaa,

Ukiirejea speech ya Rais alisema kamuondoa kalemani ajili ya utendaji mbovu, lakini ukitizama yanayoendelea wizara ya nishati utagundua makamba kapwaya kuliko mtangulizi wake.

Kama kweli utendaji mbovu ndo kigezo cha kumuondoa mtu, basi rais tuondolee makamba, vinginevyo utatufanya tutaamini, Makamba ni waziri wa mchongo na wala Kalemani hakuondolewa kwa utendaji mbovu.
Kalemani hajui na hawezi kujikomba kama Mkamba. Makamba anajikomba, na baba yake anamuongezea nguvu kujikomba. Sasa ukoo ukijikomba, kwa nini umng'ang'anie asiyejuwajuwa kujikomba!
 
Back
Top Bottom