Rais Samia, tueleze kwanini ulimtumbua Dkt. Kalemani na kutuletea Makamba!?

Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,167
2,427
Wakuu salaa,

Ukiirejea speech ya Rais alisema kamuondoa kalemani ajili ya utendaji mbovu, lakini ukitizama yanayoendelea wizara ya nishati utagundua makamba kapwaya kuliko mtangulizi wake.

Kama kweli utendaji mbovu ndo kigezo cha kumuondoa mtu, basi rais tuondolee makamba, vinginevyo utatufanya tutaamini, Makamba ni waziri wa mchongo na wala Kalemani hakuondolewa kwa utendaji mbovu.
 
Wakuu salaa,

Ukiirejea speech ya rais alisema kamuondoa kalemani ajili ya utendaji mbovu, bt ukitizama yanayoendelea wizara ya nishati utagundua makamba kapwaya kuliko mtangulizi wake.

kama kweli utendaji mbovu ndo kigezo cha kumuondoa mtu, basi rais tuondolee makamba, vinginevyo utatufanya tutaamini, makamba ni waziri wa mchongo na wala kalemani hakuondolewa kwa utendaji mbovu.
Kwani hujui mama anaiponya nchi?
 
Kitu Makamba aliweza kwenye uwaziri ni kuondoa mifuko ya plastiki tu na kuleta hii mifuko mbadala ambayo ni mibovu sana unaeza mwaga sukari hivi hivi.
... na usirogwe ukabeba samaki wabichi kwa kutumia hiyo mifuko mbadala!
1f605.png
 
Wakuu salaa,

Ukiirejea speech ya rais alisema kamuondoa kalemani ajili ya utendaji mbovu, bt ukitizama yanayoendelea wizara ya nishati utagundua makamba kapwaya kuliko mtangulizi wake.

kama kweli utendaji mbovu ndo kigezo cha kumuondoa mtu, basi rais tuondolee makamba, vinginevyo utatufanya tutaamini, makamba ni waziri wa mchongo na wala kalemani hakuondolewa kwa utendaji mbovu.
Ukimuita Makamba wa mchongo basi ni wazi hata aliyemteua naye ni wa mchongo

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
huu ndo wakati rais anapaswa kudhihirisha kama utendaji ndo unaamua hatma ya mtu au na michongo pia inahusika.
Mkuu nimekaa nimesikitika sana hivi unawezaji kusema waziri aliyepita utandaji ulikuwa mbovu wakati wanachi wanaona wenyewe tu ukatikaji wa umema ni wa kiwango cha juu kuliko wakti wote kasi ya kupeleka nishati kwa wananchi imepingua sana huku jamaa akiwagawia wahindi 70b za bure kabis kwa mfumo ambao vijana wetu wanaweza tu kuufunga
 
Back
Top Bottom