Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

Kuna watu wapo serikalini kutokana na majina ya familia zao tu.

Ila uwezo mdogo sana,

Kubebana tu wakati kuna vijana wengi tu wapo mtaani wenye uwezo mkubwa wa kuliendeleza Taifa hili.

Tunatengeneza kizazi cha watawala na watawaliwa.

Jambo baya sana hili.
Hata mimi najiuliza kwanini walewale kila uchao?
Magufuli alijitahidi sana kuibua damu changa lakini bahati mbaya katutoka mapema
 
Kosa lake ni nini ?,
Usifananishe performance ya Juma Aweso na huyo mnafiki wenu anayetumia nguvu za giza kupata madaraka
Kwa akili za KiPombe Pombe eti waziri kwenda kubeba madumu ya maji ndiyo uzalendo na uchapakazi, Upumbavu mtupu!!
 
Tano bora ya mavi???tano bora kwa ccm ya 2015 hata kuku angeweza kuwa tano bora sembuse huyo mjivi makamba.
Hahaha, walikuwa 38, wa5 wakatoboa!! Unawajua hao 33 waliobakia?? Kwa Ufupi kulikuwa na Lowassa, Bilal, Mahiga, Augustino Ramadhan, Pinda, Mwandosya, Mwigulu n.k. (Kama hao ni Kuku basi wewe jamaa unaishi katika dunia yako)
 
Makamba anaishi kwa ndumba na mbeleko,akiwekeza mitandaoni,si vinginevyo,ni mweupe haswa
 
Kwa akili za KiPombe Pombe eti waziri kwenda kubeba madumu ya maji ndiyo uzalendo na uchapakazi, Upumbavu mtupu!!
Hapo Aweso hajabeba dumu ,bali yupo na kina mama akipata ushauri na kubadilishana mawazo ya namna ya kuboresha huduma za maji ,kwani hao ndio walengwa kusudiwa
 
Hahaha, walikuwa 38, wa5 wakatoboa!! Unawajua hao 33 waliobakia?? Kwa Ufupi kulikuwa na Lowassa, Bilal, Mahiga, Augustino Ramadhan, Pinda, Mwandosya, Mwigulu n.k. (Kama hao ni Kuku basi wewe jamaa unaishi katika dunia yako)
Sawa Makamba.
Ila kujadiliana na wewe inabidi mtu ujitoe ufahamu.
Ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyekuchukulia nguo ukiwa uchi.
 
Sawa Makamba.
Ila kujadiliana na wewe inabidi mtu ujitoe ufahamu.
Ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyekuchulia nguo ukiwa uchi.

Haha Hawa ndio wamechaguliwa kuipigia CCM na awamu ya sita. Angalia ID zao zilizosajiliwa after 17/3/21. Big Joke.

Wangeweza kuchagua more sophiscated, educated, dignified, refined,serious people put right arguments for them right here on JF.
 
Hapo Aweso hajabeba dumu ,bali yupo na kina mama akipata ushauri na kubadilishana mawazo ya namna ya kuboresha huduma za maji ,kwani hao ndio walengwa kusudiwa
Hahahaha!! Very stupid!! Kwa hiyo Waziri wa maji kaenda "kupata ushauri na kubadilishana mawazo na wananchi wanaotaabika na maji jinsi ya kuboresha huduma za maji"? Yaani hadi leo hii waziri hajui jinsi ya kuboresha huduma za maji hadi aende kubeba madumu na kupewa ushauri na mlaji wa mwisho kabisa??? Pombe aliharibu akili za watu wengi sana nchi hii, you guys need to see doctors, hizo bongo zenu hazipo sawa
 
Haha Hawa ndio wamechaguliwa kuipigia CCM na awamu ya sita. Angalia ID zao zilizosajiliwa after 17/3/21. Big Joke.

Wangeweza kuchagua more sophiscated, educated, dignified, refined,serious people put right arguments for them right here on JF.
Wewe jinga kweli, mimi nimejiunga JF kwa ID ya kwanza 2007 wewe ulikuwa unafuga ng'ombe vijijini hukoo
 
Hahahaha!! Very stupid!! Kwa hiyo Waziri wa maji kaenda "kupata ushauri na kubadilishana mawazo na wananchi wanaotaabika na maji jinsi ya kuboresha huduma za maji"? Yaani hadi leo hii waziri hajui jinsi ya kuboresha huduma za maji hadi aende kubeba madumu na kupewa ushauri na mlaji wa mwisho kabisa??? Pombe aliharibu akili za watu wengi sana nchi hii, you guys need to see doctors, hizo bongo zenu hazipo sawa
Hivi ni dumu lipi hapo kabeba kwenye picha?
 
Hahahaha!! Very stupid!! Kwa hiyo Waziri wa maji kaenda "kupata ushauri na kubadilishana mawazo na wananchi wanaotaabika na maji jinsi ya kuboresha huduma za maji"? Yaani hadi leo hii waziri hajui jinsi ya kuboresha huduma za maji hadi aende kubeba madumu na kupewa ushauri na mlaji wa mwisho kabisa??? Pombe aliharibu akili za watu wengi sana nchi hii, you guys need to see doctors, hizo bongo zenu hazipo sawa
Nafikiri wee ndio stupid ,kila siku inachangamoto zake na mambo mapya ,usikariri dogo
 
Unafikiri kwa hili tatizo la umeme na kauli kinzani za viongozi wenye dhamana waandamizi kwa nchi kama Uingereza au Ujerumani wangebaki kwenye nafasi zao ?,ni hapa kwenu serikali ndio inafanyia majaribio watumishi wake huku wakiharibu na kupewa muda
Nafikiri kuna mnyororo uliojificha kati ya viongozi wenye mamlaka ya uteuzi na hao wanao fanyiwa majaribio.
 
Katika akili ya kawaida kabisa huwezi kumuacha January Makamba nje ya baraza la mawaziri. Yaani huwezi. This man is talented
 
Back
Top Bottom