Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

Mtu mwenye akili timamu anajua Makamba kapewa cheo cha Uwaziri kwa upendeleo (pamoja na bodi yote iliyojaa ex President JK sycophants) na siyo kwa uwezo aliyo nao. Hili kwa Wafanyakazi wa TANESCO linakuwa very demoralizing in the long run.
Huu ni ukweli adimu sana kusemwa hadharani,kongole zako mkuu, mtu anayeiangamiza hii nchi kwa sasa ni Jakaya Kikwete,sijui kwanini wanamlea kiasi hiki, hapana!, something must be done including eliminating of him
 
Watu eanahitaji perfectionism ambayo haitokaa itokee.

Labda uweke malaika.

Kwanza watanzania kulalamika na kulaumu ni sehemu ya maisha yao.

Utasikia, Yanga kufungwa leo ni nani alaumiwe.

In short, wabongo kwenye kila kitu lazima mtu alaumiwe.
Makamba ameshindwa kazi afukuzwe tu
 
Kauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini.

Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama viongozi wakuu wa nchi.

Teuzi ya January Makamba imebuma mapema mno, unasubiri mambo yaharibike kwa kiwango gani ndio uchukue hatua?

Sababu zote mlizozitoa zinatushangaza Watanzania, tena ni za gafla na kinzani.

Haiwezekani kuondoa wabobezi wa fani ya masuala ya umeme wote kwa mkupuo ukafanikiwa, never!

Hii teuzi ukiing'ang'ania itakuharibia kila jema uwazalo kwa Watanzania, hafai, lawama zote zitakuangukia wewe kiranja mkuu.

Ulisema, unasoma mitandaoni sana, kilio na mtazamo wa wananchi umeusikia, hivyo kwa sasa ni ngumu kwadanganya Watanzania.

Amua haraka kwa faida ya nchi, si dhambi kurekebisha kosa.
Kwa nini isiwe kwa mama kuachia ngazi!?
Kwa nini isiwe kwa PM kuachia ngazi!?
Kwa nini isiwe kwa CCM kuachia ngazi!!??
CCM hakuna kiongozi.
 
Ewaaaa...

Sasa hii timu mwendazake inadhani kutunbua ndio suluhisho la matatizo. Wametumbuliwa wangapi na bado tuko palepale

Tatizo ni watu walioamua kujipa madaraka uongozi wa nchi kwa.kutumia nguvu za dola.

Akili zilizoleta mharibiko ndio akili hizohizo eti zinataka kuondoa mharibiko na kuleta maendeleo

CCM yajenga nchi
Unafikiri kwa hili tatizo la umeme na kauli kinzani za viongozi wenye dhamana waandamizi kwa nchi kama Uingereza au Ujerumani wangebaki kwenye nafasi zao ?,ni hapa kwenu serikali ndio inafanyia majaribio watumishi wake huku wakiharibu na kupewa muda
 
Ewaaaa...

Sasa hii timu mwendazake inadhani kutunbua ndio suluhisho la matatizo. Wametumbuliwa wangapi na bado tuko palepale

Tatizo ni watu walioamua kujipa madaraka uongozi wa nchi kwa.kutumia nguvu za dola.

Akili zilizoleta mharibiko ndio akili hizohizo eti zinataka kuondoa mharibiko na kuleta maendeleo

CCM yajenga nchi
Ww ndio marope mwenyewe ama ni mkewe!?
 
Ujuaji wa mitandaoni hautakuwa na msaada wowote kwa kile kinachoendelea

Ukweli unabaki pale pale kwa sasa mambo mengi sana yamebadilika ndani ya wakati mfupi mno haujafika hata mwaka mmoja lakini kila kitu kimebadirika

Na kitu cha kusikitisha badala ya wananchi kuboleshewa maisha lakini ndo kwanza taifa linakinywea kikombe yaani ni kama laana flani ivi inautafuna uongozi ulioko madarakani

Ukweli uko wazi wananchi wengi wapo vijijini na huku ndiko kwenye kilio
 
Kuna watu wapo serikalini kutokana na majina ya familia zao tu.

Ila uwezo mdogo sana,

Kubebana tu wakati kuna vijana wengi tu wapo mtaani wenye uwezo mkubwa wa kuliendeleza Taifa hili.

Tunatengeneza kizazi cha watawala na watawaliwa.

Jambo baya sana hili.
 
Mawaziri wa Pombe hawa, wamejaa bado mambo ya Pombe Pombe tu, Macamera, ujinga na masifa ya kijinga! Samia timua hawa mawaziri wenye hizi tabia za kinafiki!! Hapo anajiona mzalendo kwenda kuchota maji kwenye madumu...
1637409552651.jpeg
 
Hii nchi mpaka mapinduzi ya.....yafanyike
 
Mawaziri wa Pombe hawa, wamejaa bado mambo ya Pombe Pombe tu, Macamera, ujinga na masifa ya kijinga! Samia timua hawa mawaziri wenye hizi tabia za kinafiki!! Hapo anajiona mzalendo kwenda kuchota maji kwenye madumu...
View attachment 2017478
Kosa lake ni nini ?,
Usifananishe performance ya Juma Aweso na huyo mnafiki wenu anayetumia nguvu za giza kupata madaraka
 
Back
Top Bottom